Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

Hakuwahi kutokea mbovu kama huyo unaemsifia, aliuwa kila kitu, sioni jema hata moja kwake

Angekuwa sahihi leo tungekuwa mbali, kwani hujui nyumba ni msingi?
Msingi mbovu ndio nyumba inayumba Leo.

Labda ungesema kila mmoja amecheza sehemu yake, ila kwa ubora hamna wa kuwazidi wenzie
 
Awamu ya 4 na 6 ni zaidi ya hovyo
 
lbd hili la msingi madhubuti.
 
Wewe **** unadhani Kenya hakuna utekaji??

Zuzu la mazuzu.

Unadhani mwanasiasa akiamua kuteka anazuiwa na mtu.

Huko Kenya ambako juzi, wameua mtu kituo cha polisi?

Wanaua watu wanatupa mtoni??
Hujaona uwajibikaji..? Ukiwa mwongo unakosa hata kutambua jambo linaloongelewa. Kenya wametekwa ila wamerudishwa na walio uliwa na polisi ywajibikaji umefanyika. Haya nikukumbushe aliuliwa akwilina aliwajibika nani..?
 
Hujaona uwajibikaji..? Ukiwa mwongo unakosa hata kutambua jambo linaloongelewa. Kenya wametekwa ila wamerudishwa na walio uliwa na polisi ywajibikaji umefanyika. Haya nikukumbushe aliuliwa akwilina aliwajibika nani..?
Hakuna uwajibikaji wowote umefanyika.

Yule Mkuu wa kituo, amejiweka pembeni kwa muda tu, mambo yapoe.

Hajajiuzulu wala kushtakiwa.
 
Hakuna uwajibikaji wowote umefanyika.

Yule Mkuu wa kituo, amejiweka pembeni kwa muda tu, mambo yapoe.

Hajajiuzulu wala kushtakiwa.
Hata kujiuzulu hawa wa kwenu wamesha wahi kufanya hivyo..? Mhusika kule kenya kashakamatwa na kawekwa sero huku kwetu inawezekana kweli..? Tusitetee mkuu yatakayo angamiza taifa letu. Ni vyema taifa hili likajali sana utu na uhai wa watu tena wasio na hatia. Akwilina aliuliwa mwanafunzi wa chuo yule pengine angekuja kuwa msaada fulani katika taifa hili.
 
Huyo mchonga meno ni overrated uliza wazee walivyoishi kwa tabu na wasiwasi enzi za mchongameno ukikutwa hata na miche miwili ya sabuni ndani unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
 
Hakuna mtu anshindana hapa , kwamba TZ kuna afadhali au Kenya kuna afdhali.

Kote kuna ujinga tu wa kijuha tu na machawa.

In short, naona unakomaa wamejiuzulu, ni nani kajiuzulu au kupelekwa mahakamani Kenya??
 
Wewe ni mdau gani zaidi ya trash tuu,mwaka huu ni over kwenu nyinyi chawa na viroboto
toa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya maoni yangu na sio kutoa mihemko useless na makasiriko nonsense jukwaani gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…