Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

Uzuri wa Enz za Magu Mambo yalikuwa wazi,leo hii kila kitu kipo chini ya kapet.

Nimecheka kwa nguvu, eti wakati wa Magufuli kila kitu kilikuwa kipo wazi. Serikali ya Magufuli si ndio ilijitoa kwenye open government? Akawa anatishia na kufungia vyombo vya habari vilivyokuwa vinaweka wazi ukweli asioupenda? Kama alifanikiwa kukubrain wash ww na ndugu zako sio wote boss.
 
Sisi tunamaono mzee...Subirini siku ya wanawake Duniani ndo utajua namanisha nini?
 
Mkuu una ushahidi wa hizo fedha ziliwekwa account gani, maana bilion 80 hauwezi hamisha bila kuathili uchumi wa nchi. Nakushauri ungeelekeza nguvu na akili zako kutafuta mustakabali wa maisha yako kuliko kujaribu kupambana kumchafua marehemu. Kwa kufanya hivo unajipalia mkaa utakaokuchoma mwenyewe.
Jpm alitumia nguvu na akili zake zote kuliongoza taifa hadi likaingia uchumi wa kati. Kuna washenzi wanafikilia kwa kutumia matako wakaja kusema nchi iliingia uchumi wa kati kwa juhudi za awamu ya 4. Baada ya jpm kufariki nchi ikarudi uchumi wa chini hao wachumi wa michongo hawakuru kutoa analysis zao za kijinga.
 
Uone aibu kuna mambo yalifanyika yanatia aibu kabisa.
 
Kama kuandika kwa ufasaha ni kigezo kaandike Risala ya chama chako siku ya wanawake Duniani.
Unadhani kila mtu anafuatilia kwa bashasha hiyo mikutano ya kukutana na viongozi wa CCM?
 
Uone aibu kuna mambo yalifanyika yanatia aibu kabisa.
Aibu mgeanza kuiona nyie na chama chenu,lema katoka kwa bahasha wake huko anakuja kutwambia sisi mabodaboda kazi yetu ni LAANA,Walikataa kila kitu kipindi cha Mzee Magu leo wanapokea Ruzuku ya nini?, na wakati washasema hawana wabunge hakina mdee ni wabunge haramuu!!!!.
 
Kuna sehemu Magufuli alifanya vizuri si kwq kumuongelea huku

RIP
 
Ndugu Rwankomezi hujui lolote..

Nyamaza kimya tu kwenye hili na utajitendea haki mno mwenyewe....
 
Unadhani kila mtu anafuatilia kwa bashasha hiyo mikutano ya kukutana na viongozi wa CCM?
Hili ni jukwaa la siasa na ukiingia huku wewe unafatilia siasa tu,Vinginevyo nenda kwenye magroup ya Akina Agrey huko.
 
Hii ni thread ya milioni mbili kumnanga Magufuli ila bado hamjafanikiwa kutubadili mawazo.
 
Hili ni jukwaa la siasa na ukiingia huku wewe unafatilia siasa tu,Vinginevyo nenda kwenye magroup ya Akina Agrey huko.
Tenganisha kufuatilia siasa na kufuatilia hilo tukio.
 
Achana na Chawa Hawa hawajui kitu
 
Kumbe wapinzani hujiuza na kuhongwa?

Kwa hiyo Samia anafanya muendelezo wa mtangulizi wake wa kuwarambisha asali wapinzani?

Basi hatuna upinzani nchi hii
Yule jamaa alikuwa mshamba tu,wapinzani wa ukweli walimdindiaa!!Najua wafuasi wake mnaumia sana kwa hili analolifanya Mama!!kwani anazidi kulifanya shetani lile lizidi kusahaulika kabisa.
 
Mpaka keo mnapambana na kivuli chake huge aliyeshindwa du
 
Anzisheni upinzani makini mtapata wafuasi wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…