Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Jifunze uandishiMleta mada hacha kupotosha watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze uandishiMleta mada hacha kupotosha watu
Uzuri wa Enz za Magu Mambo yalikuwa wazi,leo hii kila kitu kipo chini ya kapet.
Sisi tunamaono mzee...Subirini siku ya wanawake Duniani ndo utajua namanisha nini?Nimecheka kwa nguvu, eti wakati wa Magufuli kila kitu kilikuwa kipo wazi. Serikali ya Magufuli si ndio ilijitoa kwenye open government? Akawa anatishia na kufungia vyombo vya habari vilivyokuwa vinaweka wazi ukweli asioupenda? Kama alifanikiwa kukubrain wash ww na ndugu zako sio wote boss.
Mkuu una ushahidi wa hizo fedha ziliwekwa account gani, maana bilion 80 hauwezi hamisha bila kuathili uchumi wa nchi. Nakushauri ungeelekeza nguvu na akili zako kutafuta mustakabali wa maisha yako kuliko kujaribu kupambana kumchafua marehemu. Kwa kufanya hivo unajipalia mkaa utakaokuchoma mwenyewe.Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.
Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli.
Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na kuwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama.
Wanahongwa na kutishwa kujiuzulu kwenye chama chao na kuhamia CCM ambapo walipitishwa bila kura za maoni.
Hapo unafanyika uchaguzi wa marudio unaogharimu wastani wa bilioni 3 kila uchaguzi.
Wengine kama Lipumba na Mtatiro, Mbatia walikuwa wakohongwa fedha nyingi japo hawakuwahi kujiuzulu.
Wengine walikuwa wakijiuzulu na kuhamia vyama vingine huku wakilipwa mishahara na posho za ubunge wakiwa sio wabunge (Cecil Mwambe).
Inakadiriwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, serikali ilitumia bilioni 80 kwa ajili ya kuhonga wapinzani, kufanya chaguzi za marudio, na kuendesha kesi za kubambikiza.
Sisi tunamaono mzee...Subirini siku ya wanawake Duniani ndo utajua namanisha nini?
Kama kuandika kwa ufasaha ni kigezo kaandike Risala ya chama chako siku ya wanawake Duniani.Maono utoe wapi wakati hata kuandika kwa ufasaha kwako ni tatizo?
Uone aibu kuna mambo yalifanyika yanatia aibu kabisa.Mzee hayo mambo chanzo ni sababu ya Viongoz CDM wa ngazi za juu kukosa msimamo, wanakataa ili ila kesho wanalikubali, Wanagomea serikali ya Magu ila wanakubaliana na serikali ya Samia,wanashindwa kutambua kwamba Samia analo genge lake la viongozi ambao wengi ni waliokwisha pita kwenye ngazi za uongozi kipindi wanalilia katiba mpya.
Unadhani kila mtu anafuatilia kwa bashasha hiyo mikutano ya kukutana na viongozi wa CCM?Kama kuandika kwa ufasaha ni kigezo kaandike Risala ya chama chako siku ya wanawake Duniani.
Aibu mgeanza kuiona nyie na chama chenu,lema katoka kwa bahasha wake huko anakuja kutwambia sisi mabodaboda kazi yetu ni LAANA,Walikataa kila kitu kipindi cha Mzee Magu leo wanapokea Ruzuku ya nini?, na wakati washasema hawana wabunge hakina mdee ni wabunge haramuu!!!!.Uone aibu kuna mambo yalifanyika yanatia aibu kabisa.
Ndugu Rwankomezi hujui lolote..Mleta mada hacha kupotosha watu, Chadema waligomea uchaguzi, wakagomea Bunge na nchi kama nchi haiwezi kataa kuendesha mambo yake kisa chama fulani kimegoma. Viongozi wa chini wa CDM ni wao tu waliamua kujiunga na chama ili familia zao zipate mkate na mahitaji mengine.
Hili ni jukwaa la siasa na ukiingia huku wewe unafatilia siasa tu,Vinginevyo nenda kwenye magroup ya Akina Agrey huko.Unadhani kila mtu anafuatilia kwa bashasha hiyo mikutano ya kukutana na viongozi wa CCM?
Tenganisha kufuatilia siasa na kufuatilia hilo tukio.Hili ni jukwaa la siasa na ukiingia huku wewe unafatilia siasa tu,Vinginevyo nenda kwenye magroup ya Akina Agrey huko.
Achana na Chawa Hawa hawajui kituNimecheka kwa nguvu, eti wakati wa Magufuli kila kitu kilikuwa kipo wazi. Serikali ya Magufuli si ndio ilijitoa kwenye open government? Akawa anatishia na kufungia vyombo vya habari vilivyokuwa vinaweka wazi ukweli asioupenda? Kama alifanikiwa kukubrain wash ww na ndugu zako sio wote boss.
Yule jamaa alikuwa mshamba tu,wapinzani wa ukweli walimdindiaa!!Najua wafuasi wake mnaumia sana kwa hili analolifanya Mama!!kwani anazidi kulifanya shetani lile lizidi kusahaulika kabisa.Kumbe wapinzani hujiuza na kuhongwa?
Kwa hiyo Samia anafanya muendelezo wa mtangulizi wake wa kuwarambisha asali wapinzani?
Basi hatuna upinzani nchi hii
Haujanunuliwa umelambishwa asaliMbona sasa nyie mwendazake FC mnalalamika upinzani umenunuliwa?
Mpaka keo mnapambana na kivuli chake huge aliyeshindwa duMAGUFULI ALIKUWA HAJUI SIASA ALIDHANI UBABE wa KUWAKAMATA KUWABAMBIKIZIA na KUWAFUNGULIA KESI WAPINZANI UNGEMFANYA ATAWALE MILELE
-ALIDHANI KUGAWA VYEO NA FEDHA KWA WAPINZANI KUNGEUA UPINZANI
-ALIDHANI KUZUIA MIKUTANO KUNGEUA VYAMA
-ALIDHANI KUWA NA WABUNGE WA CCM KUNGEUA UPINZANI
-ALIDHANI KUWAPA UBUNGE HALIMA NA WENZAKE KUNGEUA CHADEMA
MATOKEO YAKE ALISHINDWA .
Anzisheni upinzani makini mtapata wafuasi wengi sanaHakuna upinzani Bongo sema ni vikundi flan vya kupiga tu hela wakitegemea suport ya wajinga flan.Yaani wao waongee ujinga majukwaaji alafu hao wajinga wao washangilie tu.
Mfano Juzi LEMA kapokewa na boda boda kutoka uwanja wa ndege,kafika jukwaani anasema kazi ya boda boda ni LAANA ,Hao hao boda boda wanashangilia kuitwa laaana,yaani ni taabu tupu.