Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

Huyo Mama unayesema aliishia kutuletea marais wa Marekani ni sehemu pia ya walioifanya Kenya imalizane na vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Uzi wako umejaribu kuuma na kupuliza. Hata kumtakia Rais mema katika uongozi wake naona kama vile kumekuwa ni kule kwa lugha isiyotoka moyoni.

Ni kama unaumia kumuona Rais wa awamu ya sita akifanya kazi yake. Asili haikwepeki.
 
Kwahiyo tujifungie ndani kwa sababu hatuwezi kusimamia sheria na taratibu zetu zilizopo?!?
Kwa miaka 30 tuliyokuwa huru kutoka nje tumefanya nini? Mwinyi hakumzuia mtu kutoka, Ben kadhalika, Mkwere aliwaruhusu mbadilishie route airport, taslimu 30 miaka ambayo hamkuwa na vikwazo vyovyote na Wakenya, nini ilikuwa faida hasa?
 
Mshumaa wa kumulika njia umezimika ghafla, je, tutajikwaa?
Dhalimu kafikiriki, kundi la watu msiojulikana mko wakiwa, saa hii mnalazimisha hekaya zenu. Jamaa lilikuwa jizi la kura na liuaji. Nyie wafuasi wake endeleeni kulinda kaburi hapo chattle. Mungu ndio kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
 
Dhalimu kafikiriki, kundi la watu msiojulikana mko wakiwa, saa hii mnalazimisha hekaya zenu. Jamaa lilikuwa jizi la kura na liuaji. Nyie wafuasi wake endeleeni kulinda kaburi hapo chattle. Mungu ndio kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
Hata Adolf Hittler alipojiua SS na Gestapo walimlilia sana

Watu Dizaini hii huwa ni wale wafaidika na Udhalimu wa Madikteta huwa hawakosikani
 
Wewe mwenye alili kubwa nani anaisababisha hiyo migogoro? Kwamba ili ujiran uwe mwema jirana ako akileta chokochoko uufyate ili usimuuzi, una akili kweli ww??
 
Unagombana na jirani zako Alafu wajisifu kua najeuri, ipo siku ata adui aliepanga kuku fyatua hutojua utajikuta umekauka, popote penye maslahi lazima utulize Akili Cha msingi JUA waitaji nini , wanaofikili mwenda zake alikua anatupeleka pazuri atangulie milembe watz sio wajinga
 

unajichanganya sana hivi unajua zile pesa za shule bure sijui nini bure zilikuwa za mikopo na tulishidwa kuilipa? Tanzania ilikuwa masikini sana sana maidanganywe na watu sasa kuna maendeleo sana ukilinganisha na wakati wa Nyerere
 
Dogo Tuliza munkari mama a airudisha nchi kwenye msitari
 
Nadhani sisi ndio taifa pekee tunaokwenda mataifa ya wengine kuwabembeleza waje kutumia rasilimali zetu na wanainchi wanapiga makofi. Hii ni ishara ya utumwa wa fikra.
 
Tangu mwaka 2015 ATCL hadi sasa hasara ya 150+billion
Kwa mfano baba yako amekupatia milioni 40 ununue daladala ikuendeshee maisha yako. Akakufungulia Akaunti ya hiyo pesa akaweza.

Then ukanunua daladala leo. Akaunti yako itasoma una kiasi gani baada ya kutoa hiyo milioni 40 yote na kununua daladala?!

Je, tufanye kazi itaanza jumatatu, je utakuwa una faida ya shillingi ngapi katika account yako ya daladala?!

Hii ndio shida ya kutokujifunza simple bookkeeping skills.

Unapopewa mtaji ukatumia kuwekeza itakuchukua muda kwanza kutengeneza faida, sababu utatakiwa urejeshe pesa yote uliyowekeza then utoe operation costs then ndio uje uanze kuhesabu faida. It takes time. Sasa ukiwa na watendaji wazembe ndio utazidi kuona loss daily.
 
'Najua mtanikumbuka' JPM...kuna watu wanadodosha machozi kila wakiona na kutafakari haya! Nchi imempoteza Rais na mtu muhimu Sana kwa watanzania
 
Kwahiyo wewe na CAG nani mtaalam wa hizo hesabu?
Mbona nyinyi sukuma mnajidhalilisha kupita kiasi?
 
'Najua mtanikumbuka' JPM...kuna watu wanadodosha machozi kila wakiona na kutafakari haya! Nchi imempoteza Rais na mtu muhimu Sana kwa watanzania
Kumbe wewe siyo muhimu?
Utakuwa ni kichaa sana wewe
 

Inasemekana Mama Amependa Uhuru kusimamisha Hotuba na kupisha Adhana. Hivyo akaona umuhimu wa kufufua Mahusiano.

Ni sawa na kuachiwa kutoka angani kwenye ndege bila ya kupewa Parachuti, ni suala la Muda tu you will hit the Ground.
 
Kwa miaka 30 tuliyokuwa huru kutoka nje tumefanya nini? Mwinyi hakumzuia mtu kutoka, Ben kadhalika, Mkwere aliwaruhusu mbadilishie route airport, taslimu 30 miaka ambayo hamkuwa na vikwazo vyovyote na Wakenya, nini ilikuwa faida hasa?
Yaani hueleweki kabisa... Kwahiyo kwa sababu hiyo mtu mwenye mazao yake leo Tanzania apate vikwazo kuuza Kenya and viseversa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…