Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Kwenye hii Sarafu neno la kwenye Mabano ni Yisrael
Unaweza Ukawa sawa kwenye Context lakini kimaandishi Hauko sawa...

images (7).jpeg

Maandishi ya Juu ya Noti Yameandikwa Kiarabu Philistinii, Yakaja yakaandikwa Kwa Kizungu Palestine.. Yakaja Yakaandikwa kwa Kiebrania Mwishoni Paleshtine..

Kwenye Mabano ulipotaja kumeandikwa Herufi Mbili tu ALEPH na YOD , Kimaana sasa Hizi herufi ndo Kama Code ya Neno (v Aritz Yisrael") (ארץ ישראל)
Yaani Na Ardhi ya Israel au na Eneo la Israel..

Maana Yake ni kwamba Hii pesa Itatumika Palestine na eneo la Israel..Kumbuka Kipindi hichi British alikuwa ndo anatawala hizo sehemu na Hakutaka Vita hivyo alipenda sana Kubalance mambo kuepuka migogoro...

Unaswali Jingine
 
HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya

1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala siyo Taifa liitwalo Palestina.

2. Kabla ya British Mandate, sehemu Hiyo ilikuwa ni Ottoman Empire (himaya ya Ottoman) (1517-1917), wala si Taifa la Palestinian.

3. Kabla ya Ottoman Empire,ilikuwapo himaya ya Misri yaan Islamic Mamluk Sultanate of Egypt (1250-1517), siyo Taifa la Palestinian.

4. Kabla ya Islamic Mamluk Sultanate of Egypt, lilikuwapo himaya ya Ayyubid Dynasty (1171-1260), wala si Palestina. Godfrey wa Bouillon alilivamia eneo mwaka 1099.

5. Kabla ya Ayyubid Dynasty, ilikuwapo himaya ya kikristo ya Yerusalemu (Christian Kingdom of Jerusalem 1099-1291), wala si Taifa la Palestina.

6.Kabla ya utawala wa kikristo yaan Christian Kingdom of Jerusalem, alikuwapo Fatimid Caliphate (909-1171), siyo la Palestina.

7. Kabla ya Fatimid Caliphate, ilikuwapo himaya ya Byzantine (the Byzantine Empire 330-636), wala si Taifa la Palestina.

8. Kabla ya Byzantine Empire, ilikuwapo tawala ya Rumi, yaan Roman Empire (27 BCE - 476 CE), siyo Palestina.

9. Kabla ya warumi yaan Roman Empire, walikuwapo Hasmonean Dynasty (140-37 BCE), siyo Palestina.

10. Kabla Hasmonean Dynasty,walikuwapo waselekudi yaan Seleucid Empire (312-63 BCE), siyo Palestina state.

11. Kabla ya Seleucid Empire,eneo lilikuwa chini ya Alexander yaan Empire of Alexander the Great (334-323 BCE), wala si Palestina.

12. Kabla ya Alexander the Great, walikuwapo wa pesian the Persian Empire (c. 550-330 BCE), wala si Palestina.

13. Kabla ya hao wa habeshi yaan Persian Empire, walikuwa wa Babylonian Empire (c. 1894-539 BCE),wala si Palestina.

14. Kabla ya Babylonian Empire, eneo lilikuwa chini ya Yusa wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea (c. 1050-586 BCE), siyo Palestina.

15.Kabla ya Yuda wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea, eneo lilikuwa himaya ya Israel yaan the Kingdom of Israel (c. 1040-722 BCE), siyo Palestina.

16. Kabla ya Utawala wa Israle yaan kingdom of Israel, yalikuwa makabila 12 ya wa Israel yaan the theocracy of the Twelve Tribes of Israel (c. 1400-1050 BCE), wala si Palestina.

17. Kabla ya Makabila 12 ya Israle yaan theocracy of the Twelve Tribes of Israel, eneo lilikuwa chini ya kanani yaan individual state of Canaan (c. 3000-1200 BCE), wala si Palestina.

Kwa kifupi hakuna Taifa linaloitwa Palestina na halijawai kutokea.

View attachment 3139944

Anaandika TAT kule Twitter (X)
Dogo mbona jibu ni dogo sana Palestine ilikuwepo kabla ya hata Ibrahim wachana mbritishi na Ottoman Empire je hao walikuwepo kabla ya Prophet Ibrahim?

Genesis 21:34
ESV
And Abraham sojourned many days in the land of the Philistines.
NIV
And Abraham stayed in the land of the Philistines for a long time.
NASB
And Abraham resided in the land of the Philistines for many days.

Haya hata bibilia inasema promised land kizazi cha Ismail zaidi, pia wakristo na wayahudi walio tokana na kizazi cha Ibrahim lakini zaidi ni kizazi cha Ismail.

Who were promised?

The first explicit promise to Abraham was at Sichem described in Genesis, Chapter 12 and verse 7: "Unto thy seed will I give this land." Also Chapter 13, verse 15 when Abraham is standing on a hill near Bethel: "For all the land which thou seest, to thee will I give it, and to thy seed for ever." The words in Chapter 15, verse 18, are clearer: " Unto thy seed have I given this land, from the river of Egypt unto the great river, the river Euphrates." The words used are "to thy seed" and this would inevitably include not only the Jews but also the Christians and Muslims who descended from Abraham. It cannot be argued from the words of Genesis 21, verses 10-12 that the promises made to Abraham's other seed were cancelled since it concludes in verse 13: "And also of the son of the bondwoman will I make a nation, because he is thy seed." Therefore despite Israelites calling themselves the 'seed of Abraham', the descendents of Ishmael have every right to call themselves his seed also. Moreover, at the covenant of circumcision made with Abraham (Genesis, Chapter 17), when Canaan was promised him, it was Ishmael who went through it: Isaac had not yet born.
 
Israeli imetajwa wapi kwenye Quran kuwa ni taifa?! Acheni kuzungumza mambo msiyokuwa na elimu nayo! Wengi wenu hiyo Quran hata kuishika hamjui lakini mmekaa kuisingizia mambo ya uongo tu.
بنو إسرائيل ( banuu Iraaiyl, watoto au kizazi cha Israaiyl ambaye ni Nabii Yaaquwb) wametajwa kama kabila na siyo taifa wala siyo nchi.
Daudi na Suleiman walitawala palestina au canaan?
 
Ngoja
HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya

1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala siyo Taifa liitwalo Palestina.

2. Kabla ya British Mandate, sehemu Hiyo ilikuwa ni Ottoman Empire (himaya ya Ottoman) (1517-1917), wala si Taifa la Palestinian.

3. Kabla ya Ottoman Empire,ilikuwapo himaya ya Misri yaan Islamic Mamluk Sultanate of Egypt (1250-1517), siyo Taifa la Palestinian.

4. Kabla ya Islamic Mamluk Sultanate of Egypt, lilikuwapo himaya ya Ayyubid Dynasty (1171-1260), wala si Palestina. Godfrey wa Bouillon alilivamia eneo mwaka 1099.

5. Kabla ya Ayyubid Dynasty, ilikuwapo himaya ya kikristo ya Yerusalemu (Christian Kingdom of Jerusalem 1099-1291), wala si Taifa la Palestina.

6.Kabla ya utawala wa kikristo yaan Christian Kingdom of Jerusalem, alikuwapo Fatimid Caliphate (909-1171), siyo la Palestina.

7. Kabla ya Fatimid Caliphate, ilikuwapo himaya ya Byzantine (the Byzantine Empire 330-636), wala si Taifa la Palestina.

8. Kabla ya Byzantine Empire, ilikuwapo tawala ya Rumi, yaan Roman Empire (27 BCE - 476 CE), siyo Palestina.

9. Kabla ya warumi yaan Roman Empire, walikuwapo Hasmonean Dynasty (140-37 BCE), siyo Palestina.

10. Kabla Hasmonean Dynasty,walikuwapo waselekudi yaan Seleucid Empire (312-63 BCE), siyo Palestina state.

11. Kabla ya Seleucid Empire,eneo lilikuwa chini ya Alexander yaan Empire of Alexander the Great (334-323 BCE), wala si Palestina.

12. Kabla ya Alexander the Great, walikuwapo wa pesian the Persian Empire (c. 550-330 BCE), wala si Palestina.

13. Kabla ya hao wa habeshi yaan Persian Empire, walikuwa wa Babylonian Empire (c. 1894-539 BCE),wala si Palestina.

14. Kabla ya Babylonian Empire, eneo lilikuwa chini ya Yusa wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea (c. 1050-586 BCE), siyo Palestina.

15.Kabla ya Yuda wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea, eneo lilikuwa himaya ya Israel yaan the Kingdom of Israel (c. 1040-722 BCE), siyo Palestina.

16. Kabla ya Utawala wa Israle yaan kingdom of Israel, yalikuwa makabila 12 ya wa Israel yaan the theocracy of the Twelve Tribes of Israel (c. 1400-1050 BCE), wala si Palestina.

17. Kabla ya Makabila 12 ya Israle yaan theocracy of the Twelve Tribes of Israel, eneo lilikuwa chini ya kanani yaan individual state of Canaan (c. 3000-1200 BCE), wala si Palestina.

Kwa kifupi hakuna Taifa linaloitwa Palestina na halijawai kutokea.
Ngoja waje mkuu
 
Israel ndo taifa pekee wanaloongea ligha kanaan kumbuka kanaani ni group za lugha zilizokuwa wanaongea eneo hilo ila cha ajabu wapalestina hawaongei lugha ambao ni asili ya eneo lile wanaongea kiarabu
Kiswahili ni kibantu! Jadili
Kiebrania wala hakikuwepo kipindi cha Abraham japo kilikuja kuibuka baadae ila kwa asilimia kubwa kiebrania kinaingiliana maneno mengi na kiarabu na wanaelewana na ndiyo maana sio ajabu waarabu kuelewa kiebrania.
 
Unaweza Ukawa sawa kwenye Context lakini kimaandishi Hauko sawa...

View attachment 3140023

Maandishi ya Juu ya Noti Yameandikwa Kiarabu Philistinii, Yakaja yakaandikwa Kwa Kizungu Palestine.. Yakaja Yakaandikwa kwa Kiebrania Mwishoni Paleshtine..

Kwenye Mabano ulipotaja kumeandikwa Herufi Mbili tu ALEPH na YOD , Kimaana sasa Hizi herufi ndo Kama Code ya Neno (v Aritz Yisrael") (ארץ ישראל)
Yaani Na Ardhi ya Israel au na Eneo la Israel..

Maana Yake ni kwamba Hii pesa Itatumika Palestine na eneo la Israel..Kumbuka Kipindi hichi British alikuwa ndo anatawala hizo sehemu na Hakutaka Vita hivyo alipenda sana Kubalance mambo kuepuka migogoro...

Unaswali Jingine
Nimetaka kukazia hoja ya mleta mada kuwa hakujawahi kuwa na Sovereign state inaitwa Palestine na Watu hependa kuita British mandate of Palestine kama nchi ya Palestine
 
HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya

1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala siyo Taifa liitwalo Palestina.

2. Kabla ya British Mandate, sehemu Hiyo ilikuwa ni Ottoman Empire (himaya ya Ottoman) (1517-1917), wala si Taifa la Palestinian.

3. Kabla ya Ottoman Empire,ilikuwapo himaya ya Misri yaan Islamic Mamluk Sultanate of Egypt (1250-1517), siyo Taifa la Palestinian.

4. Kabla ya Islamic Mamluk Sultanate of Egypt, lilikuwapo himaya ya Ayyubid Dynasty (1171-1260), wala si Palestina. Godfrey wa Bouillon alilivamia eneo mwaka 1099.

5. Kabla ya Ayyubid Dynasty, ilikuwapo himaya ya kikristo ya Yerusalemu (Christian Kingdom of Jerusalem 1099-1291), wala si Taifa la Palestina.

6.Kabla ya utawala wa kikristo yaan Christian Kingdom of Jerusalem, alikuwapo Fatimid Caliphate (909-1171), siyo la Palestina.

7. Kabla ya Fatimid Caliphate, ilikuwapo himaya ya Byzantine (the Byzantine Empire 330-636), wala si Taifa la Palestina.

8. Kabla ya Byzantine Empire, ilikuwapo tawala ya Rumi, yaan Roman Empire (27 BCE - 476 CE), siyo Palestina.

9. Kabla ya warumi yaan Roman Empire, walikuwapo Hasmonean Dynasty (140-37 BCE), siyo Palestina.

10. Kabla Hasmonean Dynasty,walikuwapo waselekudi yaan Seleucid Empire (312-63 BCE), siyo Palestina state.

11. Kabla ya Seleucid Empire,eneo lilikuwa chini ya Alexander yaan Empire of Alexander the Great (334-323 BCE), wala si Palestina.

12. Kabla ya Alexander the Great, walikuwapo wa pesian the Persian Empire (c. 550-330 BCE), wala si Palestina.

13. Kabla ya hao wa habeshi yaan Persian Empire, walikuwa wa Babylonian Empire (c. 1894-539 BCE),wala si Palestina.

14. Kabla ya Babylonian Empire, eneo lilikuwa chini ya Yusa wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea (c. 1050-586 BCE), siyo Palestina.

15.Kabla ya Yuda wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea, eneo lilikuwa himaya ya Israel yaan the Kingdom of Israel (c. 1040-722 BCE), siyo Palestina.

16. Kabla ya Utawala wa Israle yaan kingdom of Israel, yalikuwa makabila 12 ya wa Israel yaan the theocracy of the Twelve Tribes of Israel (c. 1400-1050 BCE), wala si Palestina.

17. Kabla ya Makabila 12 ya Israle yaan theocracy of the Twelve Tribes of Israel, eneo lilikuwa chini ya kanani yaan individual state of Canaan (c. 3000-1200 BCE), wala si Palestina.

Kwa kifupi hakuna Taifa linaloitwa Palestina na halijawai kutokea.

View attachment 3139944

Anaandika TAT kule Twitter (X)
Ritz wamekuchokoza huku
 
Kiswahili ni kibantu! Jadili
Kiebrania wala hakikuwepo kipindi cha Abraham japo kilikuja kuibuka baadae ila kwa asilimia kubwa kiebrania kinaingiliana maneno mengi na kiarabu na wanaelewana na ndiyo maana sio ajabu waarabu kuelewa kiebrania.
kiarabu na kiebrania hawaelewani hata kidogo ni lugha mbili tofauti sana
Ni kama kiarabu na kiswahili hawezi sema vinaendana sababu tu kiswahili kimechukua maneno mengi ya kiarabu ila mwarabu akiongea mswahili huambulii kitu
 
Kwenye Quruani hakuna sehemu ilipoandikwa Palestine kama iko basi iwekeni hapa.👇
 
Israel ndo taifa pekee wanaloongea ligha kanaan kumbuka kanaani ni group za lugha zilizokuwa wanaongea eneo hilo ila cha ajabu wapalestina hawaongei lugha ambao ni asili ya eneo lile wanaongea kiarabu
Nakubaliana Na wewe Kwamba Kati ya Canaanite Language zote zilizokuwepo kama Hebrew,Phoenician,Ugaritic na Moabite..

lakini unajua kwanini kwa sababu Lugha zote za Canaanite zilikufa Mpaka Kufika karne ya 14 lakini ghafla kwenye mapinduzi ama Heka heka za Zionist ama Movements za Wazayuni zikiongozwa na Theodor Herzl..

ndo waliifufua Lugha ya Kihebrania na Ikawa revived Canaanite language .. Japo Moab na yenyewe ilijaribu Kuanza Kuibuka Huko Lebanon na Jordan ila ilikufa kutokana na kukosa wazungumzaji..

Kwa Hiyo the Only Language lefts Canaanite ni Hebrew na Yenyewe Kama wasingekuwa Mazayuni ingepotea...

Ila sio Kwamba Ilikuwepo Continously ila Ili Became Revive around 19 to 20th Century..

Hata kama Unaweza Unaweza Ukagoogle Revived Canaanite language..

Wapalestina walikuwa wanaongea Kimoab ila na wenyewe Walizidiwa na Makabila yaliyokuwa yanavamia eneo hilo ni Najdi na hijazi..
 
Waarabu wana Nchi 19 nusu kati ya hizo ni za kuzulumu through Islamic Conquest kwanini Israel asirejee Nyumbani?!

Mpaka Juzijuzi Saadam Hussein alikuwa akiwanyang'anya Wakurdi Ardhi na kuwapa Waarabu.
Unajua Unaweza Ukadhani Wa Irani nao ni Waarabu 🤣🤣🤣
Watu wa irani sio waarabu ni wafarsii au Waajami au kwa lugha nyingine ni Wapersian..
 
Nakubaliana Na wewe Kwamba Kati ya Canaanite Language zote zilizokuwepo kama Hebrew,Phoenician,Ugaritic na Moabite..

lakini unajua kwanini kwa sababu Lugha zote za Canaanite zilikufa Mpaka Kufika karne ya 14 lakini ghafla kwenye mapinduzi ama Heka heka za Zionist ama Movements za Wazayuni zikiongozwa na Theodor Herzl..

ndo waliifufua Lugha ya Kihebrania na Ikawa revived Canaanite language .. Japo Moab na yenyewe ilijaribu Kuanza Kuibuka Huko Lebanon na Jordan ila ilikufa kutokana na kukosa wazungumzaji..

Kwa Hiyo the Only Language lefts Canaanite ni Hebrew na Yenyewe Kama wasingekuwa Mazayuni ingepotea...

Ila sio Kwamba Ilikuwepo Continously ila Ili Became Revive around 19 to 20th Century..

Hata kama Unaweza Unaweza Ukagoogle Revived Canaanite language..

Wapalestina walikuwa wanaongea Kimoab ila na wenyewe Walizidiwa na Makabila yaliyokuwa yanavamia eneo hilo ni Najdi na hijazi..
Lugha nyingine za kaananin zilikufa baada ya uislamu na tamaduni za kiarabu kusambaa fahamu wayahudi ndo jamii pekee iliyokataa uislamu na tamaduni za waarabu ndo maana mpaka leo lugha yao ipo
Walitumia gharama kubwa sana kuilinda

Wayahudi hata walipoenda ulaya kama adhabu kutoka kwa Mungu wao Yahweh hawakuacha tamaduni zao ndo sababu ya kuchukiwa na wazungu wa ulaya kwa sababu hawakutaka ku-integrate na jamii za wazungu
 
Back
Top Bottom