Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wana wa Israel waliishi wapi?Wametajwa kama wana wa israeli wa Yakobo sio taifa la Israel.
Wana wa israel walijulikana kama asili sio taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana wa Israel waliishi wapi?Wametajwa kama wana wa israeli wa Yakobo sio taifa la Israel.
Wana wa israel walijulikana kama asili sio taifa.
Israel ni jina la mtu na si nchi, kiarabu palestina inaitwa falastini, Quran haikutaja nchi ya israel bali wana wa israelNyuzi mujarab Facts tupu kwenye Quruani hakuna Palestina kwenye Arabic Language hakuna herufi "P"
Israel imetajwa mara nyingi sana kwenye Quruani.
Ingependeza na wewe ungefanya rejea za miaka kama alivyofanya mleta mada na ukatuambia chimbuko hasa la Wayaudi na ilikuaje Taifa lao likaundwa pale na sio sehemu nyingine.Waliosoma mpaka form six wanafahamu namna gani taifa la israeli liliundwa kwa msaada mkubwa wa mataifa ya magharibi. Palestine zamani ilikaliwa na uingereza na hivyo basi kabla ya hapo kuna mikataba lukuki ilifanyika ili kuboresha namna ya kuhalalisha ukaliwaji wa wa palestine dhidi ya taifa la israel. Hakuna hata sehemu moja katika dunia katika documentary yoyote inayoruhusu taifa moja kulikalia taifa jingine kwa mabavu kwa maslahi ya mataifa makubwa ya magharibi. HII NI MAUAJI YA HALAIKI MAUAJI HAYA NI KINYUME CHA SHERIA ZA KIMATAIFA NA SISI KUUNGA MKONO MAUAJI YOYOTE KWA WATU MADHULUMU WATOTO ,WANAWAKE WAZEE KWA HALI YOYOTE ILE BILA KUJALI NI WATU WA ITIKADI YA DINI GANI. KUFANYA HIVYO NI HATUA YA UWENDAWAZIMU NA SIO HATUA YA URAZINI UBINADAMU
Waisrael gani?..hawa wazungu,hao wafisti walitoka wapi?Waacheni wafilisti waishi kwani walimkosea nini Mungu, maana kuna sehemu kwenye biblia, agano la kale Mungu aliwaambia waisrael wawaue wafilisti wote asibaki hata mmoja wakati huo mtawala wa Israel Sauli, lakini yeye hakutii, Mungu akawambia itakuwa miiba kwenu na kweli ukifatilia yani Israel na Palestina vita yao haiishi na haita isha.
Macron juzi kamwambia netanyahu taifa lake lilitokana na azimio la umoja wa mataifa,hivyo aheshimu UN, macron anajua lile taifa fekiIngependeza na wewe ungefanya rejea za miaka kama alivyofanya mleta mada na ukatuambia chimbuko hasa la Wayaudi na ilikuaje Taifa lao likaundwa pale na sio sehemu nyingine.
ExactlyIngependeza na wewe ungefanya rejea za miaka kama alivyofanya mleta mada na ukatuambia chimbuko hasa la Wayaudi na ilikuaje Taifa lao likaundwa pale na sio sehemu nyingine.
KILA KITU ALIKOPY KUTOKA JUDAISM LEO HII KAFA BADO WAFUASI KIBAOHaha muddy alikuwa muhuni tu yule
Hao Wapalestina waliopo hapo wametokea wapi ?HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya
1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala siyo Taifa liitwalo Palestina.
2. Kabla ya British Mandate, sehemu Hiyo ilikuwa ni Ottoman Empire (himaya ya Ottoman) (1517-1917), wala si Taifa la Palestinian.
3. Kabla ya Ottoman Empire,ilikuwapo himaya ya Misri yaan Islamic Mamluk Sultanate of Egypt (1250-1517), siyo Taifa la Palestinian.
4. Kabla ya Islamic Mamluk Sultanate of Egypt, lilikuwapo himaya ya Ayyubid Dynasty (1171-1260), wala si Palestina. Godfrey wa Bouillon alilivamia eneo mwaka 1099.
5. Kabla ya Ayyubid Dynasty, ilikuwapo himaya ya kikristo ya Yerusalemu (Christian Kingdom of Jerusalem 1099-1291), wala si Taifa la Palestina.
6.Kabla ya utawala wa kikristo yaan Christian Kingdom of Jerusalem, alikuwapo Fatimid Caliphate (909-1171), siyo la Palestina.
7. Kabla ya Fatimid Caliphate, ilikuwapo himaya ya Byzantine (the Byzantine Empire 330-636), wala si Taifa la Palestina.
8. Kabla ya Byzantine Empire, ilikuwapo tawala ya Rumi, yaan Roman Empire (27 BCE - 476 CE), siyo Palestina.
9. Kabla ya warumi yaan Roman Empire, walikuwapo Hasmonean Dynasty (140-37 BCE), siyo Palestina.
10. Kabla Hasmonean Dynasty,walikuwapo waselekudi yaan Seleucid Empire (312-63 BCE), siyo Palestina state.
11. Kabla ya Seleucid Empire,eneo lilikuwa chini ya Alexander yaan Empire of Alexander the Great (334-323 BCE), wala si Palestina.
12. Kabla ya Alexander the Great, walikuwapo wa pesian the Persian Empire (c. 550-330 BCE), wala si Palestina.
13. Kabla ya hao wa habeshi yaan Persian Empire, walikuwa wa Babylonian Empire (c. 1894-539 BCE),wala si Palestina.
14. Kabla ya Babylonian Empire, eneo lilikuwa chini ya Yusa wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea (c. 1050-586 BCE), siyo Palestina.
15.Kabla ya Yuda wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea, eneo lilikuwa himaya ya Israel yaan the Kingdom of Israel (c. 1040-722 BCE), siyo Palestina.
16. Kabla ya Utawala wa Israle yaan kingdom of Israel, yalikuwa makabila 12 ya wa Israel yaan the theocracy of the Twelve Tribes of Israel (c. 1400-1050 BCE), wala si Palestina.
17. Kabla ya Makabila 12 ya Israle yaan theocracy of the Twelve Tribes of Israel, eneo lilikuwa chini ya kanani yaan individual state of Canaan (c. 3000-1200 BCE), wala si Palestina.
Kwa kifupi hakuna Taifa linaloitwa Palestina na halijawai kutokea.
View attachment 3139944
Anaandika TAT kule Twitter (X)
Good reasoning......hao kina Netanyau na genge lake wametokea Ulaya magharibi, Mashariki (Poland, Romania etc) na Marekani.Na wakaanani na wamisri walikua jamii ya watu.weusi,yaani Canaan ni Wana WA ham na ham maana yake "ngozi iliyoungua, Sasa Hawa waisrael.weupe walianza lini kuwepo!!?
Hawa waisrael waliopo tunaaaminije kama kweli ni taifa takatifu!!?wakati ni wazungu weupe!!?
JEE ISRAELI NI NCHI AU KABILA?HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya
1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala siyo Taifa liitwalo Palestina.
2. Kabla ya British Mandate, sehemu Hiyo ilikuwa ni Ottoman Empire (himaya ya Ottoman) (1517-1917), wala si Taifa la Palestinian.
3. Kabla ya Ottoman Empire,ilikuwapo himaya ya Misri yaan Islamic Mamluk Sultanate of Egypt (1250-1517), siyo Taifa la Palestinian.
4. Kabla ya Islamic Mamluk Sultanate of Egypt, lilikuwapo himaya ya Ayyubid Dynasty (1171-1260), wala si Palestina. Godfrey wa Bouillon alilivamia eneo mwaka 1099.
5. Kabla ya Ayyubid Dynasty, ilikuwapo himaya ya kikristo ya Yerusalemu (Christian Kingdom of Jerusalem 1099-1291), wala si Taifa la Palestina.
6.Kabla ya utawala wa kikristo yaan Christian Kingdom of Jerusalem, alikuwapo Fatimid Caliphate (909-1171), siyo la Palestina.
7. Kabla ya Fatimid Caliphate, ilikuwapo himaya ya Byzantine (the Byzantine Empire 330-636), wala si Taifa la Palestina.
8. Kabla ya Byzantine Empire, ilikuwapo tawala ya Rumi, yaan Roman Empire (27 BCE - 476 CE), siyo Palestina.
9. Kabla ya warumi yaan Roman Empire, walikuwapo Hasmonean Dynasty (140-37 BCE), siyo Palestina.
10. Kabla Hasmonean Dynasty,walikuwapo waselekudi yaan Seleucid Empire (312-63 BCE), siyo Palestina state.
11. Kabla ya Seleucid Empire,eneo lilikuwa chini ya Alexander yaan Empire of Alexander the Great (334-323 BCE), wala si Palestina.
12. Kabla ya Alexander the Great, walikuwapo wa pesian the Persian Empire (c. 550-330 BCE), wala si Palestina.
13. Kabla ya hao wa habeshi yaan Persian Empire, walikuwa wa Babylonian Empire (c. 1894-539 BCE),wala si Palestina.
14. Kabla ya Babylonian Empire, eneo lilikuwa chini ya Yusa wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea (c. 1050-586 BCE), siyo Palestina.
15.Kabla ya Yuda wa Israel yaan Kingdoms of Israel and Judea, eneo lilikuwa himaya ya Israel yaan the Kingdom of Israel (c. 1040-722 BCE), siyo Palestina.
16. Kabla ya Utawala wa Israle yaan kingdom of Israel, yalikuwa makabila 12 ya wa Israel yaan the theocracy of the Twelve Tribes of Israel (c. 1400-1050 BCE), wala si Palestina.
17. Kabla ya Makabila 12 ya Israle yaan theocracy of the Twelve Tribes of Israel, eneo lilikuwa chini ya kanani yaan individual state of Canaan (c. 3000-1200 BCE), wala si Palestina.
Kwa kifupi hakuna Taifa linaloitwa Palestina na halijawai kutokea.
View attachment 3139944
Anaandika TAT kule Twitter (X)
JEE ISRAEL NI JINA LA NCHI AU KABILA?HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya

Na hakuna sehemu imeandikwa israhell kama ipo ileteniKwenye Quruani hakuna sehemu ilipoandikwa Palestine kama iko basi iwekeni hapa.👇
Big Bang? The Qur'an says that "the heavens and the earth were joined together as one unit, before We clove them asunder" (21:30).KILA KITU ALIKOPY KUTOKA JUDAISM LEO HII KAFA BADO WAFUASI KIBAO
13 Scientific Facts in the Holy QuranKILA KITU ALIKOPY KUTOKA JUDAISM LEO HII KAFA BADO WAFUASI KIBAO
Hapa braza sio kweli.Jerusalem ilitekwa na majeshi ya Waarabu kutokea Hejazi katika Karne ya 7 na hata jina la "Jerusalem" walilifuta na kulibadilisha kuwa Al Aqsa.
Hebu sema huo Ukweli?!Hapa braza sio kweli.
Hebu sema huo Ukweli?!
Arab armies conquered Jerusalem in 638 CEunder the Rashidun Caliphate, led by Umar ibn al-Khattab. Umar was a close companion of the prophet Muhammad and the second successor to Abu Bakr.Hapa braza sio kweli.
. The Quran also states that the Land of Israel is the homeland of the Jewish people, and that God gave the land to them as a heritage.Na hakuna sehemu imeandikwa israhell kama ipo ileteni
Kuna surah kabisa inaitwa banii israail/wana wa israel,ahadi iliambatana na masharti ambayo hayakutimizwa ukisoma hizo aya,najua umegugo ukakopi tu,halafu Quran Inasema musa alikua muislam si myahudi. The Quran also states that the Land of Israel is the homeland of the Jewish people, and that God gave the land to them as a heritage.
Here are some Quran verses that mention Israel:
Other Quran verses that mention Israel include: 7:105, 7:134, 7:137, and 7:138.
- Surah 5:21: Moses tells the Israelites that Allah has assigned the Holy Land to them.
- Surah 17:2: God gave Moses the scripture as guidance for the children of Israel.
- Surah Al-Isra: 104: God tells the children of Israel to reside in the land, and that he will bring them all together when the promise of the Hereafter comes to pass.
Kumbe ndo maana Egypt hawawataki hawa jamaa, now I understand why Egypt is doing that.Na walikuja kumshangaza wakipiganaupande wa idd amini kwenye vita ya kagera