Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Kwenye hii Sarafu neno la kwenye Mabano ni Yisrael
Unaweza Ukawa sawa kwenye Context lakini kimaandishi Hauko sawa...



Maandishi ya Juu ya Noti Yameandikwa Kiarabu Philistinii, Yakaja yakaandikwa Kwa Kizungu Palestine.. Yakaja Yakaandikwa kwa Kiebrania Mwishoni Paleshtine..

Kwenye Mabano ulipotaja kumeandikwa Herufi Mbili tu ALEPH na YOD , Kimaana sasa Hizi herufi ndo Kama Code ya Neno (v Aritz Yisrael") (ארץ ישראל)
Yaani Na Ardhi ya Israel au na Eneo la Israel..


Maana Yake ni kwamba Hii pesa Itatumika Palestine na eneo la Israel..Kumbuka Kipindi hichi British alikuwa ndo anatawala hizo sehemu na Hakutaka Vita hivyo alipenda sana Kubalance mambo kuepuka migogoro...

Unaswali Jingine
 
Dogo mbona jibu ni dogo sana Palestine ilikuwepo kabla ya hata Ibrahim wachana mbritishi na Ottoman Empire je hao walikuwepo kabla ya Prophet Ibrahim?

Genesis 21:34
ESV
And Abraham sojourned many days in the land of the Philistines.
NIV
And Abraham stayed in the land of the Philistines for a long time.
NASB
And Abraham resided in the land of the Philistines for many days.

Haya hata bibilia inasema promised land kizazi cha Ismail zaidi, pia wakristo na wayahudi walio tokana na kizazi cha Ibrahim lakini zaidi ni kizazi cha Ismail.

Who were promised?

The first explicit promise to Abraham was at Sichem described in Genesis, Chapter 12 and verse 7: "Unto thy seed will I give this land." Also Chapter 13, verse 15 when Abraham is standing on a hill near Bethel: "For all the land which thou seest, to thee will I give it, and to thy seed for ever." The words in Chapter 15, verse 18, are clearer: " Unto thy seed have I given this land, from the river of Egypt unto the great river, the river Euphrates." The words used are "to thy seed" and this would inevitably include not only the Jews but also the Christians and Muslims who descended from Abraham. It cannot be argued from the words of Genesis 21, verses 10-12 that the promises made to Abraham's other seed were cancelled since it concludes in verse 13: "And also of the son of the bondwoman will I make a nation, because he is thy seed." Therefore despite Israelites calling themselves the 'seed of Abraham', the descendents of Ishmael have every right to call themselves his seed also. Moreover, at the covenant of circumcision made with Abraham (Genesis, Chapter 17), when Canaan was promised him, it was Ishmael who went through it: Isaac had not yet born.
 
Daudi na Suleiman walitawala palestina au canaan?
 
Ngoja
Ngoja waje mkuu
 
Israel ndo taifa pekee wanaloongea ligha kanaan kumbuka kanaani ni group za lugha zilizokuwa wanaongea eneo hilo ila cha ajabu wapalestina hawaongei lugha ambao ni asili ya eneo lile wanaongea kiarabu
Kiswahili ni kibantu! Jadili
Kiebrania wala hakikuwepo kipindi cha Abraham japo kilikuja kuibuka baadae ila kwa asilimia kubwa kiebrania kinaingiliana maneno mengi na kiarabu na wanaelewana na ndiyo maana sio ajabu waarabu kuelewa kiebrania.
 
Nimetaka kukazia hoja ya mleta mada kuwa hakujawahi kuwa na Sovereign state inaitwa Palestine na Watu hependa kuita British mandate of Palestine kama nchi ya Palestine
 
Ritz wamekuchokoza huku
 
Kiswahili ni kibantu! Jadili
Kiebrania wala hakikuwepo kipindi cha Abraham japo kilikuja kuibuka baadae ila kwa asilimia kubwa kiebrania kinaingiliana maneno mengi na kiarabu na wanaelewana na ndiyo maana sio ajabu waarabu kuelewa kiebrania.
kiarabu na kiebrania hawaelewani hata kidogo ni lugha mbili tofauti sana
Ni kama kiarabu na kiswahili hawezi sema vinaendana sababu tu kiswahili kimechukua maneno mengi ya kiarabu ila mwarabu akiongea mswahili huambulii kitu
 
Kwenye Quruani hakuna sehemu ilipoandikwa Palestine kama iko basi iwekeni hapa.👇
 
Israel ndo taifa pekee wanaloongea ligha kanaan kumbuka kanaani ni group za lugha zilizokuwa wanaongea eneo hilo ila cha ajabu wapalestina hawaongei lugha ambao ni asili ya eneo lile wanaongea kiarabu
Nakubaliana Na wewe Kwamba Kati ya Canaanite Language zote zilizokuwepo kama Hebrew,Phoenician,Ugaritic na Moabite..

lakini unajua kwanini kwa sababu Lugha zote za Canaanite zilikufa Mpaka Kufika karne ya 14 lakini ghafla kwenye mapinduzi ama Heka heka za Zionist ama Movements za Wazayuni zikiongozwa na Theodor Herzl..

ndo waliifufua Lugha ya Kihebrania na Ikawa revived Canaanite language .. Japo Moab na yenyewe ilijaribu Kuanza Kuibuka Huko Lebanon na Jordan ila ilikufa kutokana na kukosa wazungumzaji..

Kwa Hiyo the Only Language lefts Canaanite ni Hebrew na Yenyewe Kama wasingekuwa Mazayuni ingepotea...

Ila sio Kwamba Ilikuwepo Continously ila Ili Became Revive around 19 to 20th Century..

Hata kama Unaweza Unaweza Ukagoogle Revived Canaanite language..

Wapalestina walikuwa wanaongea Kimoab ila na wenyewe Walizidiwa na Makabila yaliyokuwa yanavamia eneo hilo ni Najdi na hijazi..
 
Waarabu wana Nchi 19 nusu kati ya hizo ni za kuzulumu through Islamic Conquest kwanini Israel asirejee Nyumbani?!

Mpaka Juzijuzi Saadam Hussein alikuwa akiwanyang'anya Wakurdi Ardhi na kuwapa Waarabu.
Unajua Unaweza Ukadhani Wa Irani nao ni Waarabu 🤣🤣🤣
Watu wa irani sio waarabu ni wafarsii au Waajami au kwa lugha nyingine ni Wapersian..
 
Lugha nyingine za kaananin zilikufa baada ya uislamu na tamaduni za kiarabu kusambaa fahamu wayahudi ndo jamii pekee iliyokataa uislamu na tamaduni za waarabu ndo maana mpaka leo lugha yao ipo
Walitumia gharama kubwa sana kuilinda

Wayahudi hata walipoenda ulaya kama adhabu kutoka kwa Mungu wao Yahweh hawakuacha tamaduni zao ndo sababu ya kuchukiwa na wazungu wa ulaya kwa sababu hawakutaka ku-integrate na jamii za wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…