Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

Daima mpenda chongo huita kengeza.
 
Huyo Mtu wenu kuna siku mtamwokota barabarani akiwa Uchi wa Mnyama, msifieni tu kwa Ujinga aufanyao
 
MTU KWAO [emoji847][emoji847][emoji847].
wewe Kama haujajenga kwenu Hilo Ni tatizo lako.
Pesa ipo walipa Kodi wapo
 
Hospital ya bil 9.1 amabayo itahudumia watanzania mil 18 ndio unaleta hoja kama hizi kuihoji?
 
Yaani hospital ya rufaa ya kanda inajengwa kijijini na still huoni tatizo? Tupe sababu za msingi on why ni chato na si mwanza, Shinyanga, Tabora Geita au Kigoma mjini.
Atakuja Raisi mwingine yeye akiwa kibabu atampeleka mahakaman kwa ubadhilifu wa mali za umma akiwa ofsn. Ataondolewa Presidential immunity yaani kinga ya urahisi kama ilivyotokea kwa CHILUBA wa Zambia. Wiki iliyopita aliyekuwa Rais wa Malawi ambaye amepokelewa na huyu aliyekuja majuz kati Tanzania kutoka kambi upinzani, Mutharika akaunti zake zote benki zimekamatwa na utawala wa sasa. Hiyo ni Wake up call kwa watawala wanaojiona wao ni sheria ya nchi na kusahau kuwa utawala una ukomo
 
Kaka unafahamu maana ya hospital ya rufaa?
 
Vitu chungu mzima kama vipi?
 
Kwani hospitali ilipojengwa Dar na hasa Mlonganzila mbona pande zote za nchi walienda kutibiwa pale? Kuna tofauti gani na Chatto kujengwa hospitali na kuhudumia watu wote. Hii ni univesal service!
 
Jamani hivi CRDB walijenga makao makuu au walijenga tawi kama wilaya nyingine wanavyopewa matawi?

..mimi ningependelea miradi hiyo igawanywe kwa USAWA ktk wilaya zote za mkoa wa Geita.

..sina tatizo na miradi kupelekwa kanda ya ziwa, tatizo ni miradi mingi kiasi hicho kulundikwa Chato ndani ya muda mfupi.
 
Najua wengi tunalalamika sababu imejengwa chato ,wengi wangetamani ijengwe labda mwanza lakini mwanza tiyari kuna Bugando hospital Musoma tiyari kuna Mwalimu nyerere hospital ambayo imekamilika hivi karibuni. Ujenzi wa hospital chato umezingatia strategic reason kwa madhumuni ya kuhudumia wakazi wa mkoa wa Geita pia mkoa wa kagera .kwa mantiki hiyo ni kwamba chato imeact as a center area between two neighboring region I mean Geita itself and Kagera.
 
Siku utakayo rudi hapa ukilialia,ujue wanajukwaa humu hawana huruma na waimba mapambio kwa maslahi yao wanashindwa hata kuuona ukweli.
 
Wanapinga kwa sababu mmoja tu Chato inatishia watu fulani.
 
Wanapinga kwa sababu mmoja tu Chato inatishia watu fulani.

..wanapinga UPENDELEO.

..Nakumbuka kuna wakati JK alitaka kujenga uwanja wa ndege Bagamoyo watu walichonga kwelikweli.

..kinachofanyika Chato sasa hivi siyo haki kwa mkoa wa Geita, kanda ya ziwa, na Tanzania kwa ujumla.
 
Ww ni kima
 
..wanapinga UPENDELEO.

..Nakumbuka kuna wakati JK alitaka kujenga uwanja wa ndege Bagamoyo watu walichonga kwelikweli.

..kinachofanyika Chato sasa hivi siyo haki kwa mkoa wa Geita, kanda ya ziwa, na Tanzania kwa ujumla.
Charity inaanzia nyumbani.
 
Hii kitu kama anafanya huyu jamaa, basi ni wa hovyo sana kupata kutokea katika nchi hii katika nyakati hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…