Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ikaitwa team ina maana sio kwamba mchezaji mmoja akiumia au kuuzwa team itashuka daraja tumia akili japo kidogo kwenye hilo.Hakuna mtu anamwekea kigingi, yanga inaendelea na ubeaten zake bila fei, huu ni ushahidi kuwa fei sio muhimu saana. Yanga inamzuia kutoka kiholela kwaajili ya kanuni na heshima.
Kaka acha hizo, zipo timu kama akiondoka mchezaji wao mmoja TU basi timu yote inadorora haipati matokeo.Ndio maana ikaitwa team ina maana sio kwamba mchezaji mmoja akiumia au kuuzwa team itashuka daraja tumia akili japo kidogo kwenye hilo.
Lamine Morro.Na yule beki Muivory cost.
Mwisho aliomba arudi Uto nao wakamdengulia.
Still anakula ugali sukari.Hivi PCCB na kitengo chao cha utakatishaji pesa hawana haja ya kufuatilia Feisal alipata wapi ile milion 100 kwa ghafla vile? Mtu anaelipwa milion 4 kwa mwezi anapata wapi milion 100 haraka namna ile ya kutaka kuvunja mkataba? Hii taasisi haina kitengo cha detectives? Kazi yao ni nini?
Teh teh teh teh.....na kusafiri na boda2.Ifikie wakati Fei toto atoke nyumbani kwa mama yake, ili akili ikomae. Huwezi kuwa mtoto wa kiume, halafu unaenda kumsimulia mama yako mpaka vitu vya kipuuzi, na vya uongo!
Eti alikuwa anakula ugali na sukari! ☹️
Halafu juzi kati tu hapa, amepata ajali huko kwao Zanzibar akiwa anaendesha Toyota Harrier!! Asije akasema ameazima hiyo gari. 😃Teh teh teh teh.....na kusafiri na boda2.
Hahahaha atasema kaazima na mafuta yake.Halafu juzi kati tu hapa, amepata ajali huko kwao Zanzibar akiwa anaendesha Toyota Harrier!! Asije akasema ameazima hiyo gari. 😃
Haya ndiyo maswali TFF inatakiwa kumuuliza Faisal kabla ya kusikiliza kesi yake. Kwakuwa Faisal inaisumbua TFF bila sababu ya msingi kwa swala la uhamisho wa mchezaji kwa njia haramu. TFF wanafahamu kila kitu lakini wanajifanya hawajui. kwanini TFF isihangaike na chanzo cha tatizo badala yake wanahangaishwa na matokeo ya chanzo cha tatizo. Tutaona kama kweli TFF ina uwezo wa kuvunja mikataba ya wachezaji wanaopitia mlango huu haramu. Siku Kanoute nae akienda TFF kuomba kuvunja mkataba wake unilaterally TFF watapepesa macho? au watasema tulimruhusu Fei kwa majaribio tu lakini sasa basi haturuhusu kwa njia hii.Hivi PCCB na kitengo chao cha utakatishaji pesa hawana haja ya kufuatilia Feisal alipata wapi ile milion 100 kwa ghafla vile? Mtu anaelipwa milion 4 kwa mwezi anapata wapi milion 100 haraka namna ile ya kutaka kuvunja mkataba? Hii taasisi haina kitengo cha detectives? Kazi yao ni nini?
Wakati akina Miquiso, Chama, Kisinda wananunuliwa na timu za Afrika kaskazini Feitoto alikuwepo pia. Kwanini hawakumtaka Feitoto kama ni mchezaji mzuri sana. Fei amejiharibia sana, alipaswa kuongeza juhudi zaidi chini ya Nabi ili ang'are zaidi kwenye mashinde haya ya caf ili apandishe kiwango na dau lake ndani na nje ya nchi.Unayoyasema ni sahihi kabisa,Fei ni mchezaj wa kawaida sana
Atakuja kuuza mechi apate pesa, haaminiki sasa hivi, mchukueni tu. Saido alikuwa anajizunguusha tu kwelie Geita ili kuficha ushahidi, lakini mimi nilijuwa kuwa alikuwa ametekenywa na Simba. Sasa yuko simba, mnamuonaje huko kwenye mechi za kimataifa? anakukurika tu uwanjani harmlessly.Tutamchukua Simba
Kwanza kilichompaisha fei ni vile vigoli vyake vya kubahatisha na wala sio mchango wake katika timuWakati akina Miquiso, Chama, Kisinda wananunuliwa na timu za Afrika kaskazini Feitoto alikuwepo pia. Kwanini hawakumtaka Feitoto kama ni mchezaji mzuri sana. Fei amejiharibia sana, alipaswa kuongeza juhudi zaidi chini ya Nabi ili ang'are zaidi kwenye mashinde haya ya caf ili apandishe kiwango na dau lake ndani na nje ya nchi.
Wazungu wana msemo unaosema "come easy go easy" wakimaanisha kuwa namna utakavyompata mfanyakazi wako ndio aina hiyohiyo atakayo ondoka kutoka kwako na kukuacha pia. Yaani kama mfanyakazi wako ulimpata kwa kumtoroka kwa mwajili wake wa zamani atakutoroka pia kwenda kwa mwajili mwingine. Kama mwanamke wako ulikutana nae bar ataondokea bar vilevile, na kama ulimpatia facebook ataondokea facebook pia. Kwa maana nyingine, ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, na muosha huoshwa.!!!!! Fei ameyumba dish, kwa tamaa kama hii anaweza hata kuuza mechi.
Ibrahim Ajibu.Unaijua yanga iliyokuwa inatembea na mabakuli unajua star wa timu alikua nani ???
Umbumbumbu unakusumbua si bure, inakuwa vipi hiyo YANGA FC mbovu ilikuwa inashika nafasi ya pili kimsimamo na Makolokolo wakiwa Mabingwa?Nabi kaja juzi tu acha upopoma feisal ilikuwa anakiwasha toka enzi za mwinyi zahera yanga mbovu alikuwa yeye na ajibu ndio wanaibeba team mwacheni dogo akatafute riziki sehemu nyingine mbona mnamuwekea kigingi.
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Madunduka FC kwenye ubora wako [emoji847]Mkuu, hilo la "HAMNAZO", mbona Haji Manara alishathibitisha? Wasio WAJINGA huko, ni WAWILI tu!
Elewa mada kwanza askari wa zanzibarUmbumbumbu unakusumbua si bure, inakuwa vipi hiyo YANGA FC mbovu ilikuwa inashika nafasi ya pili kimsimamo na Makolokolo wakiwa Mabingwa?
Au VPL ilikuwa ni overated quality in football leagues?