OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hujazungumzia Fei kulishwa ugali na maji ya kunawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama dereva barabarani anaehama upande wa foleni inayoenda kuhamia upande wenye roleni isiyosogea.Kwakweli Feisal Toto anajiharibia career yake. Na ajue pia umri unaenda haurudi nyuma.
Fundi ni Nabi sio Faisal. Hebu muamgalie Mudathir wa Sasa wa Yanga halafu mlinganishe na yule mudathir wa Azam, Sheikh ni mbingu na ardhi. Angekuwa hivi Azam wasingemtupia vilago,Hujazungumzia Fei kulishwa ugali na maji ya kunawa
Kama kula ugali na maji ya kunawa ndio siri ya ule mpira wa Yanga na kuongoza ligi basi ni bora wachezaji wote wa Yanga wale [emoji23][emoji23][emoji23]Hujazungumzia Fei kulishwa ugali na maji ya kunawa
Na kama kula ugali na sukari ndio kunasababisha Fei apige mishuti yote ile ya mbali na kufunga magoli yale akiwa Yanga basi ugali na sukari ni chakula ambacho kilimpenda sana, asikiache. Kabla ya kuja Yanga Fei toto alikuwa kawaida sana, kama kweli alikuwa anakula ugali na sukari hadi kiwango chake kikapanda kiasi kile basi atakuwa mwehu kama ataacha kula ugali na sukari.Kama kula ugali na maji ya kunawa ndio siri ya ule mpira wa Yanga na kuongoza ligi basi ni bora wachezaji wote wa Yanga wale [emoji23][emoji23][emoji23]
Yale mambo sidhani kama yule mama amesimuliwa au kuambiwa na Fei. Yale yamemtoka tu yeye mwenyewe na uropokaji wake 😅😅😅😅Ifikie wakati Fei toto atoke nyumbani kwa mama yake, ili akili ikomae. Huwezi kuwa mtoto wa kiume, halafu unaenda kumsimulia mama yako mpaka vitu vya kipuuzi, na vya uongo!
Eti alikuwa anakula ugali na sukari! ☹️