Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Na ndio hivyo saa 12.41jioni Morocco 3 Canada 0
Bado unasema hakuna timu ya afrika kufikanmtoano
 
Hindsight is 20/20

Lakini hizi timu zilivyoanza zingeendelea hivyo mleta uzi alikuwa na Hoja....

Tunisia ingeanza kwa bidii Mechi ya Kwanza na Cameroon wasingekuwa na mambo ya kipuuzi na Chuki Binafsi huenda tungekuwa na timu 5 kwenye hatua za mitoano
 
Wewe ni miongoni mwa waliouelewa huu uzi. Timu za kiafrika zilianza Kombe hili kama mashindano ya bonanza. Baadaye wakajiongeza. Tunawaombea Morocco washinde hii game na Ghana kesho pia ashinde.
 
Huu ushuzi uliandikwa lini!!??
 
Moroco na Senegal ni bara gani?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji867][emoji867][emoji867]Huyu MAMLUKII YUKO WAP
 
Hivi hukusema umekaa pale ee??
 
Mbona matatizo uliyoandika kuhusu Afrika, sikuona hata moja Jana Senegal na Brazil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…