Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya makundi kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of determination (kutojitambua wakiwa uwanjani)
3. Laziness (uvivu na kutojituma wakiwa uwanjani)
4. Lack of strategies ( kutokuwa na mkakati wa mechi).
5. No clear goals/objectives. Wanacheza haya mashindano kama mashindano ya ridhaa tu.
6. Kuridhika na kupweteka haraka.

Unaweza kuona ni mara chache wakiwa na mpira kuleta madhara lango la adui. Wanacheza back pass au pasi zisizo na mkakati wowote. Wanapoozesha Sana mpira pindipo wanapoupata. Wanashindwa kudeal na technic ikiwa pamoja na kushindwa kuwalazimisha marefa. Wanakosa nafasi nyingi za wazi ukilinganisha na timu kutoka mabara mengine.

Kwa muktadha huo, sioni nafasi ya timu za Afrika kujikwamua na madhaifu hayo kiasi kupata matokeo bora ya kusonga mbele.
Njoo kwa herufi kubwa.
Simba aitwaye Senegal kashawatangulia wenzake hatua ya mtoano.
A true lion never die.
 
Tatizo kubwa sana linalolisumbua Africa ni kukosa wafungaji, Afrika haina kabisa strikers.

Unakuta wanatengeneza nafasi 6 na kwa nafasi zote hizo hamna goli hata moja wanafunga kwa hali hiyo ndio maana wataaga mashindano kwenye ngazi ya makundi.

Pia timu za Afrika hazina kitu kinachoitwa "concentration"    jinsi muda unavyozidi kwenda ndio wanapoteza umakini. Afrika bado sana labda baada ya karne hii.
Duh!!! kweli imeloa
 
Njoo kwa herufi kubwa.
Simba aitwaye Senegal kashawatangulia wenzake hatua ya mtoano.
A true lion never die.
Huyu simba atatoboa kwa mkoloni kweli?

Au wajukuu wa malkia watapita bila kupingwa hadi fainali

#Itscominghome
 
Lipo wazi Hilo Senegal kashinda Jana lakini itahitaji zaidi ya muujiza kumfunga Equador..muujiza
Tunisia baada ya kufungwa na timu dhaifu zaidi kwenye kundi lao, mwendo pia ameumaliza
Morocco hatobo, yupo kundi gumu Sana japo Ana point moja tayari

Senegal kashinda huko.mpira dakika 90 sio porojo zako za mdomoni hizo
 
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya makundi kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of determination (kutojitambua wakiwa uwanjani)
3. Laziness (uvivu na kutojituma wakiwa uwanjani)
4. Lack of strategies ( kutokuwa na mkakati wa mechi).
5. No clear goals/objectives. Wanacheza haya mashindano kama mashindano ya ridhaa tu.
6. Kuridhika na kupweteka haraka.

Unaweza kuona ni mara chache wakiwa na mpira kuleta madhara lango la adui. Wanacheza back pass au pasi zisizo na mkakati wowote. Wanapoozesha Sana mpira pindipo wanapoupata. Wanashindwa kudeal na technic ikiwa pamoja na kushindwa kuwalazimisha marefa. Wanakosa nafasi nyingi za wazi ukilinganisha na timu kutoka mabara mengine.

Kwa muktadha huo, sioni nafasi ya timu za Afrika kujikwamua na madhaifu hayo kiasi kupata matokeo bora ya kusonga mbele.

Mambo yamebadilika sasa hivi wachezaji wa kiafrika wote wanacheza Ulaya na akili zao zimebadilika.
Sasa hivi umekimbia uzi wako unaona aibu kwa ujinga ulioandika.k-eng-emmoja
 
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya makundi kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of determination (kutojitambua wakiwa uwanjani)
3. Laziness (uvivu na kutojituma wakiwa uwanjani)
4. Lack of strategies ( kutokuwa na mkakati wa mechi).
5. No clear goals/objectives. Wanacheza haya mashindano kama mashindano ya ridhaa tu.
6. Kuridhika na kupweteka haraka.

Unaweza kuona ni mara chache wakiwa na mpira kuleta madhara lango la adui. Wanacheza back pass au pasi zisizo na mkakati wowote. Wanapoozesha Sana mpira pindipo wanapoupata. Wanashindwa kudeal na technic ikiwa pamoja na kushindwa kuwalazimisha marefa. Wanakosa nafasi nyingi za wazi ukilinganisha na timu kutoka mabara mengine.

Kwa muktadha huo, sioni nafasi ya timu za Afrika kujikwamua na madhaifu hayo kiasi kupata matokeo bora ya kusonga mbele.
Senegal imekuaibisha mapema.
Una harufu ya uchawi
 
Sawa, Njoo ukalie kigingi cha moto sasa.
 
jamaa alibeti vibaya kiutaniutani nimeambulia ka msimbazi chao
IMG_20221130_011346.jpg
 
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya makundi kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia.
Mbona timu zote tano za Afrika zipo kwenye hatua ya makundi? Au nikutajie?
Senegal ....... Group A
Tunisia .......... Group D
Morocco ....... Group F
Cameroon .. Group G
Ghana ........... Group H
 
Back
Top Bottom