Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Hakuna Timu ya Afrika Itakayoingia Hatua ya Mtoano Huko Qatar

Tatizo waafrika wenzetu WENYE VIPAJI wametusaliti na kuchezea ulaya na marekani... imagine Africa haina hata diaspora Mmoja mzungu anayekipiga Africa
Yupo mzungu wa Simba na wengine kibao pale singida big stars
 
Alibisha Sana [emoji1787]...
Unajua Hawa watoto wa 2000's hawalijui vizuri historia ya Senegal kombe la dunia laiti wangejua enzi za kina Tony silver diofu waulize France watakuambia
Hawajuu hao kina papa diop, henry camara, fadiga wakivokiwasha world cup 2002
 
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of determination (kutojitambua wakiwa uwanjani)
3. Laziness (uvivu na kutojituma wakiwa uwanjani)
4. Lack of strategies ( kutokuwa na mkakati wa mechi).
5. No clear goals/objectives. Wanacheza haya mashindano kama mashindano ya ridhaa tu.
6. Kuridhika na kupweteka haraka.

Unaweza kuona ni mara chache wakiwa na mpira kuleta madhara lango la adui. Wanacheza back pass au pasi zisizo na mkakati wowote. Wanapoozesha Sana mpira pindipo wanapoupata. Wanashindwa kudeal na technic ikiwa pamoja na kushindwa kuwalazimisha marefa. Wanakosa nafasi nyingi za wazi ukilinganisha na timu kutoka mabara mengine.

Kwa muktadha huo, sioni nafasi ya timu za Afrika kujikwamua na madhaifu hayo kiasi kupata matokeo bora ya kusonga mbele.
Saudia je?
 
Back
Top Bottom