DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
π€£π€£π€£Nasema tena mwanangu. Niheshimu. Ungejua kwangu mtu mwenye miaka 40 au 50 ni kichanga kama wewe. Laiti ungekutana nami, ungesema babu badala ya kujihadaa eti mie mjukuu wako kumbaff kabisa. Umeniudhi hadi nikatukani. Nyambaff kabisa chika adabu na adabu ikuchike.
Karibu mwanangu doktari Mambo Jamba sorry Mambo Jambo. Uko nchi gani ughaibuni?π€£π€£π€£
Dah kweli haya Baba yangu na Babu yangu..Hongera sana babu Yangu..
Ingawa babu yangu alifariki mwaka 1975
Hujajibu swali langu Vipi Kwahyo roho mtakatifu Ni mbakaji?Karibu mwanangu doktari Mambo Jamba sorry Mambo Jambo. Uko nchi gani ughaibuni?
Who knows? Kwani bila kufanya hiyo kitu huyo bi mkubwa angewezaje kujaa? Circumstantially, inawezekana hiyo ndivo ilivokuwa mwanangu. Huoni hata mapadri wanavyosifika kwa kubakabaka na kuzinizini. hadi wanakumbwa na kashfa dunia nzima. Hao ndiyo walioshiriki kuandika bibilia na kutulea neno lao. Je wanaaminika? Mbona wakati tunakolonishwa ndio waliotengeza njia kwa kutupeleleza na kuripoti kwa wakoloni?Hujajibu swali langu Vipi Kwahyo roho mtakatifu Ni mbakaji?
Nawe hujajibu swali langu. Uko nchi gani ughaibuni?Hujajibu swali langu Vipi Kwahyo roho mtakatifu Ni mbakaji?
Sijui....hata yesu na mitume wote awajui kwa sababu huo ni upumbavu wa makanisani...kama yalivyo tabiriwa kuwa ni chukizo la uhalifu lililo simama patakatifu...hayo unayo yauliza ni upumbavu wa madhehebu ya dini ...neno madhehebu maana yake ni (MAHEKALU YA SHETANI IBILISI)..mfano yesu siyo msabato wala mkatoliki wala mlokole wala awezi kuwa kwenye madhehebu yoyote ...ni upumbavu upumbavu upumbavu upumbavu mtupu.Upumbavu?Hapa huyo Mwamposa & co wanaingiaje?
Upo serious kweli Mwamba
Haya Naomba niletee Rank za Divine Katika Spiritual Realm/God Kingdom
Kama unajua mkuu,
Mimi nitakuletea
Hapa hapa namna ya kufika higher consciousness na kua attach spiritual Enlightenment!
Nipo tayari kwa kujifunza kwako!
Niko Nchi ya Ilala π€£π€£Nawe hujajibu swali langu. Uko nchi gani ughaibuni?
Mie nipo nchi ya Amka π π πNiko Nchi ya Ilala π€£π€£
torati ni Sheria broo, Sheria walizopewa Wana wa Israel waishi nazo sasa nikuulizile labda wewe waisraeli walikuwa waislamu?Torati na Ukristo wapi na wapi ndugu?
Wakati wa Musa Ukristo ulikuwepo? Ndiyo ulivyofundishwa Sunday School?
Sijui mjadala wenu umeanzia vipi ila nimeona kosa la kilogic kuhusu ubakaji ...mariamu anasema ...bwana nitendewe kama ulivyo sema...sasa ubakaji unatokeaje ikiwa mwanamke kalidhia ....wewe ukimfuata mwanamke ukamwambia unataka kumtomb^ kisha yeye akakujibu kuwa haya nitendee kama ulivyo sema hapo umembaka namna gani? ...au unaleta siasa za ccm za umri chini ya miaka 18 ?Who knows? Kwani bila kufanya hiyo kitu huyo bi mkubwa angewezaje kujaa? Circumstantially, inawezekana hiyo ndivo ilivokuwa mwanangu. Huoni hata mapadri wanavyosifika kwa kubakabaka na kuzinizini. hadi wanakumbwa na kashfa dunia nzima. Hao ndiyo walioshiriki kuandika bibilia na kutulea neno lao. Je wanaaminika? Mbona wakati tunakolonishwa ndio waliotengeza njia kwa kutupeleleza na kuripoti kwa wakoloni?
Quran imekopi from bibleUislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
na cha ajabu sasa hakuna aliyechinjwa kati ya hao ila kondooUislam unasema Ibrahim alitaka kumchinja Ismail kwaajili ya sadaka
Ukristo unasema Ibrahim alitaka kumchinja Isaka kwaajili ya sadaka
Nani yupo sahihi? Kwa rejea ipi?
Duniani kuna dini zaidi ya 10,000, japo watu wengi wanafuata ukristu, uislamu, ubudha na uyahudi. Dini karibu zote zina chimbuko katika tamaduni za jamii zinazoshikilia dini husika. Mfano ni ushinto, utao na uconfici zenye mizizi katika tamaduni za nchi za mashariki ya mbali. Waafrika kwa asili si wakristu wala waislamu bali kuwa kwetu ktk dini hizi kunatokana kutawaliwa na jamii zenye kufuata dini hizi (wazungu na waarabu). Yumkini tungelikuwa tumetawaliwa na wachina au wajapani, leo tungefuata dini ya kishinto au kitao. Moja ya adhari hasi zaidi za kutawaliwa kwa waafrika ni kutwezwa kwa utu na utamaduni wetu huku tukiona fahari kukumbatia tamahuni za waliotutawala. Na tunagombana juu ya imani za mabwana zetu!Kuna nadharia nyinhi kuhusu uislam. Pia waumini wamedangantwa sana kwenye uislam, mpaka kuambiwa kuwa quran ilishushwa toka kwa Mungu, wakati ndani ya quran, imasema eti Mohmd alikutana na malaika Gibril, akamwambia aandike atakayomwambia, lakini Mohmd akamwambia kuwa hana kalamu. Halafu kumbukumbu nyingine ndani ya qurani Mohm anaeleza kuwa yeye hakuwahi kujua kuandika wala kusoma, ila alimwomba mtu mwingine aandike aliyokuwa ameambiwa!
π€£π€£π€£π€£Sijui mjadala wenu umeanzia vipi ila nimeona kosa la kilogic kuhusu ubakaji ...mariamu anasema ...bwana nitendewe kama ulivyo sema...sasa ubakaji unatokeaje ikiwa mwanamke kalidhia ....wewe ukimfuata mwanamke ukamwambia unataka kumtomb^ kisha yeye akakujibu kuwa haya nitendee kama ulivyo sema hapo umembaka namna gani? ...au unaleta siasa za ccm za umri chini ya miaka 18 ?
Nasema tena mwanangu. Niheshimu. Ungejua kwangu mtu mwenye miaka 40 au 50 ni kichanga kama wewe. Laiti ungekutana nami, ungesema babu badala ya kujihadaa eti mie mjukuu wako kumbaff kabisa. Umeniudhi hadi nikatukani. Nyambaff kabisa chika adabu na adabu ikuchike.