DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
🤣🤣🤣Nasema tena mwanangu. Niheshimu. Ungejua kwangu mtu mwenye miaka 40 au 50 ni kichanga kama wewe. Laiti ungekutana nami, ungesema babu badala ya kujihadaa eti mie mjukuu wako kumbaff kabisa. Umeniudhi hadi nikatukani. Nyambaff kabisa chika adabu na adabu ikuchike.
Dah kweli haya Baba yangu na Babu yangu..Hongera sana babu Yangu..
Ingawa babu yangu alifariki mwaka 1975