Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

sitawahi badilisha msimamo wangu juu ya hilo mimi kwasababu najua vyema
 
Sijawai kuwa na marafiki wakiume...yaani best furendi Sijui Nini....Sijui tunatoka out eti rafiki yangu...aiseeee sina hulka hiyo..

Hata hao wakike tu tunawasalianaga kwa Watssap...sijawaona live Miaka...
.mylife is simple....Sijui kutokana kwenda wapi ..Sijui Kula Bata...doooh

Sioni hata Kama napungukiwa kitu...
 
naona dalili za mke😂😂😂
 
Wewe sasa umejisifia mmno khaaa. Unataka tuseme wewe wife material sio?

Maada hapa urafiki wa mwanaume na mwanamke haupo zaidi ya kupigana mashine. Hatujasema wewe na marafiki wa kike wala kutoka out.
 
Hii dhana ya kwamba hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume sijui imetoka wapi

Mimi kama mwanaume anaona hawezi kuwa na urafiki wa kawaida na mimi apite kushoto

And this is why naonaga wanaume hawana umuhimu wowote kwenye maisha yangu

Kwa sababu sitegemei pesa ya mwanaume yeyote hivyo nami sina chochote cha kumpa
 
Wewe sasa umejisifia mmno khaaa. Unataka tuseme wewe wife material sio?

Maada hapa urafiki wa mwanaume na mwanamke haupo zaidi ya kupigana mashine. Hatujasema wewe na marafiki wa kike wala kutoka out.

Anajipigia mstari huyo, jichanganye tu uingie kingi!
 

Huo ni msimamo wako binafsi, hongera kama umefaulu kuuishi.

Ila ....“kama hawezi kuwa rafiki wa kawaida.....” means ni conditions unazompa vs kilichomleta sio hicho, akiamua kubaki ujue anayo hope ipo siku tu.
 
Shida ni pale demu wako anapokwambia ni rafiki tu na wewe pia unajua ulikua rafiki na unajua sarakasi ulizozicheza mpaka hapo mlipofikia
 
Kuna jamaa yangu mmoja ofisini alikuaga ana rafiki yake wa kike kila mahali wanajitanabaisha kwamba urafiki wao ni wa kawaida kabisa. Mi nikaona isiwe tabu nikatia timu kwa yule mamsi akanielewa, nikaanza kumega! Jamaa kuja kujua nashangaa kaninunia mazima hataki hata kuongea na mimi na urafiki wao ukaishia hapo.
 

[emoji3][emoji3][emoji3] ulikula 'akiba' yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…