Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Akae kwa kutulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akae kwa kutulia
Fact!Kuna wadada ni washikaji sana na wako njema kiuchumi and everything, they just like company wa wana kuliko wadada wenzio, sababu kuu ikiwa ni drama za mabinti wenzao.
Nadhani nsikulaumu mtoa mada hapa bali nilaumu malezi yako, ila nachojua mimi urafiki wa mwanamke na mwanaume upo na hauna shida tena unakuaga so real kuliko udananda na drama za jinsia moja.
Umeona wapi mwanamke anatongozwa night club au bar? Kama unahitaji mahusiano tongoza ila one night stand ukitongoza utaonekana mshambaMwanamme unashindwa kutongoza mwenyewe, wewe ni kijana ama mwanamme wa Dar? Unatia kichefu chefu mno.
Endelea kutembelea muwa kama mkongojo, ipo siku kiangazi kitatamalaki, jua la utosi litakua kali na utaula mkongojoHonestly I have one superlady friend of mine!
Tukikutana bar tunakula tunalewa then anaset connection za madem mm kazi yangu kupoint tu anaenda kumaliza mchongo kazi yangu inabakia kugegeda namkubali sana nikijichanganya kumgonga ataanza kuniletea mawivu halaf kaz itakua ngumu upande wangu
Mkuu punguza makasiriko, unapambana na natureHii dhana ya kwamba hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume sijui imetoka wapi
Mimi kama mwanaume anaona hawezi kuwa na urafiki wa kawaida na mimi apite kushoto
And this is why naonaga wanaume hawana umuhimu wowote kwenye maisha yangu
Kwa sababu sitegemei pesa ya mwanaume yeyote hivyo nami sina chochote cha kumpa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akae kwa kutulia
Ndiyo maana yake, mtu kama una nyege unajiokotea mwanamke Night club au Bar na makanisani just for one night stand.Umeona wapi mwanamke anatongozwa night club au bar? Kama unahitaji mahusiano tongoza ila one night stand ukitongoza utaonekana mshamba
Hivi huwa mnawazaga nini yaani mnapocomenti eti urafiki upo kati ya mwanaume na mwanamke huo urafiki unakaa sehemu gani?kwani huyo mwanaume yeye anakuwa hana matamanio?Urafiki upo nyie msilazimishe uzinzi wenu...watu tuna marafiki wa kiume kibao tu!
Sema iko hivi mwanamke ndo mwamuzi wa hatima yake...