Mkuu umeniwahi,siku za karibuni nilitaka kuweka bandiko la namna hii hapa!
Ila nyie watu acheni tuu utamuona bidada ana heshima zake + marafiki wengi wa kiume kumbe anafahamu yupi wa kumgegeda,atakayemuoa,wa kupiga hela,wa kuuzia sura + kupiga nae story...sasa unajiuliza mbona huyu dada ana msururu mwingi wa wanaume???alafu ni mlokole mlokole.
Kumbe analiwa mdogo mdogo(Haswa vyuoni) hizi tabia ni Ngaa!
Unashangaa majitu yanasema huyu dada ana roho nzuri,huwa anazungumza na kila mtu kumbe hamna kitu.
Asikwambie mtu watu wenye focus wanapitia wakati mgumu sana!