Kusema kweli mi binafsi sijawahi kua na rafiki wa kike. Lazma tu ama ntamtafuna, au akikataa nampotezea. Hua naona kama kua na rafiki wa kike ambae humli ni kama unawazibia rizki wanaume wengine ambao wana malengo nae[emoji3][emoji3][emoji3] ulikula 'akiba' yake!
[emoji3][emoji3]Mkuu umeniwahi,siku za karibuni nilitaka kuweka bandiko la namna hii hapa!
Ila nyie watu acheni tuu utamuona bidada ana heshima zake + marafiki wengi wa kiume kumbe anafahamu yupi wa kumgegeda,atakayemuoa,wa kupiga hela,wa kuuzia sura + kupiga nae story...sasa unajiuliza mbona huyu dada ana msururu mwingi wa wanaume???alafu ni mlokole mlokole.
Kumbe analiwa mdogo mdogo(Haswa vyuoni) hizi tabia ni Ngaa!
Unashangaa majitu yanasema huyu dada ana roho nzuri,huwa anazungumza na kila mtu kumbe hamna kitu.
Asikwambie mtu watu wenye focus wanapitia wakati mgumu sana!
.....akikujibu nitagWangapi walifanikiwa kupiga? au wangapi waliomba mzigo?
Alimfanya huyo jamaa kama kiuzia sura chake!Kuna jamaa yangu mmoja ofisini alikuaga ana rafiki yake wa kike kila mahali wanajitanabaisha kwamba urafiki wao ni wa kawaida kabisa. Mi nikaona isiwe tabu nikatia timu kwa yule mamsi akanielewa, nikaanza kumega! Jamaa kuja kujua nashangaa kaninunia mazima hataki hata kuongea na mimi na urafiki wao ukaishia hapo.
Basi ataendelea kusubiri hiyo meli airport! Kwa sababu kitu kama hicho kwangu hakiwezi kutokea!Huo ni msimamo wako binafsi, hongera kama umefaulu kuuishi.
Ila ....βkama hawezi kuwa rafiki wa kawaida.....β means ni conditions unazompa vs kilichomleta sio hicho, akiamua kubaki ujue anayo hope ipo siku tu.
Mkuu hii dunia ina siri nyingi sana,jifunze mengi utaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu vipi yamekukuta!?
narudi mstarini mkuuHahaahaaha
Umoja wa wanaume: "unakoelekea siko"
urafiki kati ya mke na mume huo upoHata akiwa mkeo hutokuwa rafiki yake!
ni uamuzi mzuri tuHii dhana ya kwamba hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume sijui imetoka wapi
Mimi kama mwanaume anaona hawezi kuwa na urafiki wa kawaida na mimi apite kushoto
And this is why naonaga wanaume hawana umuhimu wowote kwenye maisha yangu
Kwa sababu sitegemei pesa ya mwanaume yeyote hivyo nami sina chochote cha kumpa
Vivyo hivyo kwa mwanaume mkuu atavuruga hata manispaa yote lakini anajua vizuri kabisa mke wa kuoa ni yupiMkuu umeniwahi,siku za karibuni nilitaka kuweka bandiko la namna hii hapa!
Ila nyie watu acheni tuu utamuona bidada ana heshima zake + marafiki wengi wa kiume kumbe anafahamu yupi wa kumgegeda,atakayemuoa,wa kupiga hela,wa kuuzia sura + kupiga nae story...sasa unajiuliza mbona huyu dada ana msururu mwingi wa wanaume???alafu ni mlokole mlokole.
Kumbe analiwa mdogo mdogo(Haswa vyuoni) hizi tabia ni Ngaa!
Unashangaa majitu yanasema huyu dada ana roho nzuri,huwa anazungumza na kila mtu kumbe hamna kitu.
Asikwambie mtu watu wenye focus wanapitia wakati mgumu sana!
Vipi kwa wanaume walio fixed/wanawake..nahisi huwa wanapata tabu sana!kazi yao ni kuchezewa akili tuu.Vivyo hivyo kwa mwanaume mkuu atavuruga hata manispaa yote lakini anajua vizuri kabisa mke wa kuoa ni yupi
life style ya mwanamke inaweza kuonyesha yeye ni wa aina gani kwa anaeweza kuangalia tuVipi kwa wanaume walio fixed/wanawake..nahisi huwa wanapata tabu sana!kazi yao ni kuchezewa akili tuu.
Huyo ni mchizi wako ila tafiti zinaonesha simba akikosa nyama hulaga nyasi [emoji23]...
Watchout mzee!!!
πππTunaita chicken pet[emoji23][emoji23]
HapanaUnaijua sababu ya wao kukimbia?
Mmoja alifaniikiwa kunibikiri..watatu waliishia kula kwa macho.Wangapi walifanikiwa kupiga? au wangapi waliomba mzigo?
NdiyoKwamba ulibikiriwa kabla ya ndoa![emoji276]