Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

Sio sifa njema.
Ni kweli lakini mwanaume anataka kuona anapendwa sawa na anavyopenda
Mwitikio wa mwenzie. Response to the his woman will determine whether to take it to the further steps or to handle it accordingly
 
Kuna wadada ni washikaji sana na wako njema kiuchumi and everything, they just like company wa wana kuliko wadada wenzio, sababu kuu ikiwa ni drama za mabinti wenzao.

Nadhani nsikulaumu mtoa mada hapa bali nilaumu malezi yako, ila nachojua mimi urafiki wa mwanamke na mwanaume upo na hauna shida tena unakuaga so real kuliko udananda na drama za jinsia moja.
 

Umri wako tafadhali!
 
You have a serious psychological problem, you need serious treatment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio 'machawa' wenyewe, na ulimkomesha ipasavyo. Kila demu mzuri wanataka kuwa karibu naye, 'f*ck them', ndiyo dawa yao hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hawa wameweza kuwa marafiki sembuse ME na KE [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa, naomba iweke 'clear' statement yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ataendelea kusubiri hiyo meli airport! Kwa sababu kitu kama hicho kwangu hakiwezi kutokea!

Mimi mwanaume kama alinianza kwa gia ya urafiki siku akinitongoza tu na urafiki unakufa hapo hapo! Na hii ndiyo sababu sina marafiki wa kiume!
Sorry, unataka mwanaume aanze kwa gear gani ili umkubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukizubaa tu umeisha, utakuta stori kwenye uzi pendwa wa kimasikhara.
 
Unatumia muwa kama fimbo ya kupandia mlima, utaula tu brother.
 
Mwanamme unashindwa kutongoza mwenyewe, wewe ni kijana ama mwanamme wa Dar? Unatia kichefu chefu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…