Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

Fact!

Malezi na maamuzi yanaplay part hapo wewe ndio muamuzi wa kipi kitokee kati yenu.
I had a very loyal chuganian budah na mchaga they were friends na mim nkawa part of the group
Unapata best quality company ever hamna majungu .
 
Mwanamme unashindwa kutongoza mwenyewe, wewe ni kijana ama mwanamme wa Dar? Unatia kichefu chefu mno.
Umeona wapi mwanamke anatongozwa night club au bar? Kama unahitaji mahusiano tongoza ila one night stand ukitongoza utaonekana mshamba
 
Endelea kutembelea muwa kama mkongojo, ipo siku kiangazi kitatamalaki, jua la utosi litakua kali na utaula mkongojo
 
Mkuu punguza makasiriko, unapambana na nature
 
Urafiki upo nyie msilazimishe uzinzi wenu...watu tuna marafiki wa kiume kibao tu!

Sema iko hivi mwanamke ndo mwamuzi wa hatima yake[emoji848]

Ukiona kaliwa ujue kapenda kufanywa hivo, ila kama hataki, mwanaume hata ufanyeje humli huyo mwanamke

Watu tuna marafiki wa kiume makazini miaka ( ila wanaume wana ka weakness ka kutaka K na kulazimisha hata kama ni marafiki, ila hii akili kichwani mwako mwanamke ukizubaa unang'atwaa ng'aaa[emoji23][emoji16])na hamna mbaya imetokea!

Binafsi sina na sitakagi mahusiano ya kimapenzi job!
 
Umeona wapi mwanamke anatongozwa night club au bar? Kama unahitaji mahusiano tongoza ila one night stand ukitongoza utaonekana mshamba
Ndiyo maana yake, mtu kama una nyege unajiokotea mwanamke Night club au Bar na makanisani just for one night stand.
 
Urafiki upo nyie msilazimishe uzinzi wenu...watu tuna marafiki wa kiume kibao tu!

Sema iko hivi mwanamke ndo mwamuzi wa hatima yake...
Hivi huwa mnawazaga nini yaani mnapocomenti eti urafiki upo kati ya mwanaume na mwanamke huo urafiki unakaa sehemu gani?kwani huyo mwanaume yeye anakuwa hana matamanio?

Maana ninachojua mimi urafiki wa kazini huo sio urafiki hayo ni mahusiano ya kikazi au kiofisi hivyo huo sio urafiki .rafiki yako kwanza kabisa huyo ndio msiri wako unaweza kumwambia jambo lolote lile linalokusibu bila kujali chochote.

Pili unakuwa na uhuru nae kuanzia nyumbani hadi matembezini mnatoka pamoja kwenda sehemu mbalimbali kwa kula bata mnasaidiana kwa kila hatua na mnashauriana kwa kila jambo ina maana sasa hata ukitongozwa na mtu lazima umwambie na yeye akuambie ya kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…