Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono.
Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu serikali ya CCM chini ya rais Samia ilishakataliwa na wananchi na wanaichuki.
CHADEMA wao kila mkoa walikopita ilikuwa ni nyomi huku wakijenga hoja kwa maslahi ya umma. Na kukomalia hoja ya kupata katiba mpya ili kudhibiti ufisadi na maovu ya kutekwa wananchi.
Kwa ujumla CCM wameona aibu na kuvunja ibara ya 21 ya katiba ya JMT.