Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

17..kiboko ya mafisadi na wahujum uchumi
18. Alinunua midege zaidi ya kumi na mbili
19. Aliyakunja majizi ya madini na kufuta mikataba ya wizi iliyokuwa inatetewa na Lissuu
20. Endeleeeni

Mafisadi gani?. Watu wanalipishwa pesa wanatoka. Bora hata Kikwete mawaziri wawili waliwahi kuhukumiwa. Sio mtu anaiba trillion 1.5 halafu anaitwa kiboko ya mafisadi .
 

Unamuita mtu mlevi na mpumbavu ili Magufuli ainekane mzuri pole Sana. Magufuli alikuwa sio kiongozi bali mtawala yani alitaka kuifanya nchi Mali yake, ila mwishoni kaondoka kaiacha nchi.

The worst president to me , who knew he will die and established projects for rememberance after death and not for common cause.
 
Ongeza nyingine jomba ya Kwenda uchumi wa Kati miaka mitano kabla ya malengo

Nadhani kikwete alijibu hili kwenye msiba wa mkapa na mjadala ukaishia pale. Waliocontribute Sana kwa uchumi wa Kati wa Chini Ni Mkapa na kikwete, Magufuli alicontribute kidogo Sana.
 
WATU WASIOJULIKANA
UFISADI WA KIHISTORIA (TRILLION 1.5 ZINAPOTEA GHAFLA NDANI YA MWAKA WA KWANZA WA HAPA KAZI TU)
MIILI KUOKOTWA KWA SANDARUSI.
KUJENGA INTERNATIONAL AIRPORT KIJIJINI KWAKE.
KUBAKA UCHAGUZI 2020
KUNUNUA WAPINZANI.
KUMPIGA RISASI TUNDU LISU.
KUFUNGIWA VYOMBO VYA HABARI.
KIFO CHA BEN SAA NANE NA AZORY.
AKAKOPA TRILLION 29 huku akitudanganya fedha ni za ndani.
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2019 UPINZANI WOTE WAKAAMBIWA WAMEKOSEA KUJAZA FORM.
MAXENCE MELLO MARK ZUCKERBERG WETU AKAWA ANASHINDA NDANI MPAKA NA MAHABASU AKAWEKWA KISA JAMII FORUM.
VIFARANGA NAVYO VIKACHOMWA MOTO BILA HATIA.

YES HUYU NDO RAIS BORA ZAIDI KULIKO WOTE.HAPO MBINGUNI HUYU MWAMBA YUKO PEMBENI NA YESU WANAKAA MEZA MOJA KWA KWELI.



"HEY WAITER NIongezee konyagi jibapa niende zangu kulala"
 
Hayo yote hayabadilishi ukweli kuwa alifanya majukumu yake vizuri kama kiongozi. Magufuli hakuwa puppet wa UK kama watawala.
 
hayo ni kwa mujibu wako wewe. Watanzania mlizoea kudekezwa sana alipokuja mwamba ambaye anawachana makavu mkaona ni raisi mkatili. Kwa sasa unahitaji raisi zaidi Magufuli kuliko kitu chochote.

Hakuna maendeleo yeyote kwa sasa zaidi ya kugawana mabilioni ya kodi kwa njia za posho na semina pamoja na mikutano ya kumsifia mama.

Watu wanaiba hela na rushwa imerudi na kutamalaki mno. Huu ndio utaratibu ambao wengi mnaupenda ila hautusogezi kokote kama taifa. Kodi zinakusanywa na tozo kibao ila nchi iko pale pale.
 
Japo Kuna mema alifanya ila kifo cha yule mzee kweli Mungu aliamua kuingilia kati

Daah nikimkumbuka member mwenzetu wa jamii forum Ben saanane

Daaah hii roho inauma sana hasa ile post yake ya mwisho
Ben saanane amefanyaje?
 
Japo Kuna mema alifanya ila kifo cha yule mzee kweli Mungu aliamua kuingilia kati

Daah nikimkumbuka member mwenzetu wa jamii forum Ben saanane

Daaah hii roho inauma sana hasa ile post yake ya mwisho
Ila awamu ya Jk alichofanyiwa Dr ulimboka ukikumbuka hakikuumk???
 
Tanzania hatujawahi kuwa na rais asiyefaa Kama alivyokuwa Magufuli, Ni bahati tu kwamba hakukaa miaka mingi kama wenzake vinginevyo tungekuwa na historia kama Ile ya Amin kwa Uganda
 
Ni mawazo yako,lazima yaheshimiwe ila na wewe heshimu mitazamo ya watu wengine.
 
Tanzania hatujawahi kuwa na rais asiyefaa Kama alivyokuwa Magufuli, Ni bahati tu kwamba hakukaa miaka mingi kama wenzake vinginevyo tungekuwa na historia kama Ile ya Amin kwa Uganda
Umeona mbali mtu wa Mungu.
 
Maana alikuwa jizi pia. Huwezi kuhonga nyumba za serikali hawala yako.
Story za kwenye vijiwe mkikosa kazi za kufanya, ukiambiwa uelezee kwa ushahidi unachokisema hapa huna pa kuanzia zaidi ya chuki binafsi na story za kukaririshwa.
Kama Yesu kuna kitabu kinasema alikuwa na mwanamke na wakazaa mtoto siwezi kushangaa hiki unachozungumza.

Hata mie niwe raisi ni kufyekelea mbali wapumbavu na majizi machache yanayotaka waTanzania masikini wasote kisa maslahi yao binafsi.

Ukileta mchezo ni kukufyekelea mbali na kukutupa umefungwa kwenye kiroba mpaka akili ziwakae sawa, tena Magufuli alikuwa na huruma.
 
🤣🤣🤣 Kama alivyodeal na jizi makonda ama yule daraja la juu alafu we kapuku???maana alikua jizi pia
Wenye vyeti vya ku forge bado mnapata shida sana, Magufuli alikuwa na huruma, wengine tungewakaanga kwenye vikaango kama samaki, hakuna kuleta ushenzi kwenye maslahi mapana ya taifa.

China majizi yananyongwa mi nashangaa sana mnadekezwa hapa, lazima nidhamu kazini iwepo.
 
Ukweli mchungu ni kwamba Mungu aliamua kuingilia kati Daah nikimkumbuka wale vifaranga walio chomwa moto mwenyezi Mungu amsamehe magufuli marehemu asemwi vibaya
Unazungumzia vifaranga wale waliokuwa na mafua ya ndege..Sasa ulitaka walete ugonjwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…