Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Suala la kununua wapinzani, jomba una ushahidi wowote..sababu sijawah sikia mpinzani yoyote aliyehama kwamba alipewa pesa..unadhan kwanini hakuna mtu kama huyo aliyejitokeza...tuwe wakweli Basi tusitunge maneno.
 
17..kiboko ya mafisadi na wahujum uchumi
18. Alinunua midege zaidi ya kumi na mbili
19. Aliyakunja majizi ya madini na kufuta mikataba ya wizi iliyokuwa inatetewa na Lissuu
20. Endeleeeni
21. Alisafisha mjengoni kwa kuhakikisha manyumbu yote out, hadi mwamba wao.
 
Hangaya na crew yake yote wanalijua hilo.
 
Kila mmoja abaki na msimamo wake hakuna shida. Tukubaliane katika kutokukubaliana
 
Hata Mbowe kwenye speech yake alisema Magufuli alikuwa rais mwenye maono na mchapakazi kwelikweli na kuwataka Chadema waige tabia hiyo kama kweli wanataka maendeleo.
 
konyagi inakusumbua jitu lisilofata Sheria ni zuri katika uongozi
 
Mi binafsi kila raisi amefanya kazi yake,hakuna raisi Bora kuliko mwengine,kila mmoja ana mabaya na mazuri yake!Anzia Jk Nyerere mpaka Leo hii Mama Samia.

Ubaya na ukatili tunao sisi washabikiaji wa kisiasa, wanasiasa wa nchi hii wametufanya sisi mazombi.
 
Yaani kwa uharo huu hatufiki
 
Hatimaye jizi la Chato likanyongwa na corona
 
Suala la kununua wapinzani, jomba una ushahidi wowote..sababu sijawah sikia mpinzani yoyote aliyehama kwamba alipewa pesa..unadhan kwanini hakuna mtu kama huyo aliyejitokeza...tuwe wakweli Basi tusitunge maneno.
Rushwa ni adui wa haki.
 
Barikiwa kwa kuwa tu Mkweli kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…