mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Unamjua lamwai? Kesi ya mbowe angeshinda asubuhi tukwa kukuthibitishia tu ni kwamba, Mgongolwa ni wakili mzuri kuliko hao vijana kina kibatala. na kati ya wooote uliowataja hapo, marando tu ndio namkubali, wengine wote haman kitu.
kwa criminal hapa dsm, mgongolwa na Magafu ndio mawakili thabiti ambao hata kesi ya kina mbowe wangepewa wangeshinda. sema labda kwasababu huwa hawapendi mambo ya kisiasa, but kwa criminal wana uwezo na uzoefu mkubwa sana.
Mgongolwa pia amejiimarisha tangu zamani sana na kapiga sana hela za barrick, pesa anayo.