Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Mimi Alex nimekutana na ninakutana naye sana kwenye korido za Mahakama. Ni Sr kwangu na kuna kesi kibao tu alizo wakilisha wateja wake zimetengeneza precedent kwa sheria zetu.Kwahiyo nyie watalamu wa sheria mnajuana kwa ubora wa kushindwa kesi kibwena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Porojo za kwenye vyombo vya habari na vitendo mahakamani ni vitu tofauti. Hofu yawezekana hujawahi msikiliza Alex akiloloma redioni, tena awe anahojiwa na mwenziwe kitenge.
Achunge mdomo wake, ili kujiepusha na hizi aibu ndogo ndogoo.wakili mzima anajazwa upepo na utopolo nae anajaa mzima mzimaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unaye msikiliza redioni na kusikia kwa watu juu ya kesi alizoshinda na kushindwa sina neno nawe; mimi binafsi nimenufaika 'Kisheria' na uwepo wa Wakili Alex kwenye chombo cha utoaji HAKI kama Afisa wa Mahakama.
Wewe unayetafuta ushindi utadhani Mahakamani kuna Ligi endelee kukashifu taaluma za watu. Nimekutajia Prof GMF humjui halafu unataka niendelee jadili nawe ishu za Sheria? [emoji1787]