Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

Unamjua lamwai? Kesi ya mbowe angeshinda asubuhi tu
 
Graduate wa SAUT, I tend to believe that whoever paid for your fee, he/she wasted her/his money.
 
Bernad morrison mtoe hapo kwani kwa TZ, hatambuliki kama ni wakili msomi!!kwani kuwa wakili msomi kwenye nchi yoyote ile kuna utaratibu wake!!atakuwaje wakili msomi wakati hata hatambuliki TLS?!!
Kuna kesi nyingine hata uweke mawakili wakubwa duniani huwezi kushinda kamwe kutokana na ushahidi uliopo!!kwani kuna kesi ngapi mkulima tu anajisimamia, anapambana na jamaa mwenye wakili msomi lakini ana shinda kesi??hili sakata viongozi wa yanga walikuwa wanaufahamu ukweli, lakini walifanya vile ili kuwafurahisha mashabiki wao!!!kwani ni uhuni uliokuwa unafanywa na virabu hivi vikubwa kwa miaka mingi, sasa wamekutana na mtu anayejitambua, amewanyoosha!!
 
Kulikuwa na haja ya kunitolea lugha ya kuudhi katika kujenga hoja yako?
 
kwahiyo wakili akishindwa kesi basi anakuwa wakili sio mzuri? unajua kama wakili hata akijua kuwa kesi anaenda kushindwa huwa anaendelea kuwakilisha?
 
Ukite kitenge (mzee wa kibuyu)ana msifu Alex unaweza sema duniani hakuna wakili tena zaidi ya Alex [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Cc ,kitenge mzee wa kibuyuuu
 
Uto ni mbumbuu mzungu wa reliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alex Mgongolwa ni Lawyer wa hovyo.
Haitakuja kutokea duniani loya kama huyuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].na uto walishawishiwa na yale makelele yake ya redioni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo No 5 mbona kila pingamizi anagalagazwa? Huyo hakuna kitu
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Naomba niishie hapa, nilijua nawasiliana na mtu wa Tasnia ya Sheria kumbe KACHALA.

Jioni Njema Ndugu yangu [emoji120]
Kwahiyo nyie watalamu wa sheria mnajuana kwa ubora wa kushindwa kesi kibwena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Porojo za kwenye vyombo vya habari na vitendo mahakamani ni vitu tofauti. Hofu yawezekana hujawahi msikiliza Alex akiloloma redioni, tena awe anahojiwa na mwenziwe kitenge.

Achunge mdomo wake, ili kujiepusha na hizi aibu ndogo ndogoo.wakili mzima anajazwa upepo na utopolo nae anajaa mzima mzimaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…