Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

Mimi Alex nimekutana na ninakutana naye sana kwenye korido za Mahakama. Ni Sr kwangu na kuna kesi kibao tu alizo wakilisha wateja wake zimetengeneza precedent kwa sheria zetu.

Wewe unaye msikiliza redioni na kusikia kwa watu juu ya kesi alizoshinda na kushindwa sina neno nawe; mimi binafsi nimenufaika 'Kisheria' na uwepo wa Wakili Alex kwenye chombo cha utoaji HAKI kama Afisa wa Mahakama.

Wewe unayetafuta ushindi utadhani Mahakamani kuna Ligi endelee kukashifu taaluma za watu. Nimekutajia Prof GMF humjui halafu unataka niendelee jadili nawe ishu za Sheria? [emoji1787]
 
Kama mahakamani hakuna ushindani mnashinda huko kuatafuta mademu [emoji1787]?,au ndio mambo yale yale ilimradi mkono uende kinywani.utapeli
 
Hongera wewe anae kutana na Sr anae ropokaroka hovyo kwa kufuata mkumbo wa wasakatonge wa habari za michezo.
 
Kama mahakamani hakuna ushindani mnashinda huko kuatafuta mademu [emoji1787]?,au ndio mambo yale yale ilimradi mkono uende kinywani.utapeli
Mwaka 2011 wakati najiunga JF tulikuwa tuna jadili hoja, siyo viroja. Naomba radhi kwa kusumbuka nawe.
 
Umehemkwa.....
 
Mwaka 2011 wakati najiunga JF tulikuwa tuna jadili hoja, siyo viroja. Naomba radhi kwa kusumbuka nawe.
Wakili msomi, polee sanaaa kwa kujichosha kuangalia profile yangu. Inaonekana umeumia sanaaaaa kuguswa Sr wako.

Maisha lazima yaendelee ndugu Wakili msomi sanaa,unaeshinda kwenye korido za mahakama.
 
Bongo kulikuwa na mawakili wazuri criminal lawyers wawili tu......
John Mwale na Loumu Ojare
 
Wakili msomi, polee sanaaa kwa kujichosha kuangalia profile yangu. Inaonekana umeumia sanaaaaa kuguswa Sr wako.

Maisha lazima yaendelee ndugu Wakili msomi sanaa,unaeshinda kwenye korido za mahakama.
Sijaguswa na Profile yako, nimeguswa na uwezo wa ujenzi wako wa HOJA.

Na nimepitia threads ulizoshiriki hapa JAMVINI na kusoma maandishi yako nimeishia JIPA POLE PIA [emoji120]
 
Hawa cha mtoto wewe,
Wako wakina Murtaza Lakha, Shyam Jadeja.
Wengine watakaa.
 
Acha uongo, Mzee Mkono amesimamia kesi gani hapa Tanzania na kushinda?
 
Umetoroka mirembe unatafutwa
 
Huyo ni Prof wa Sheria UDSM/Law school .
Shukrani, kuna porofesa mwenzake humu nimeuliza hivyo tuu,akajaa jazbaaa hatarii [emoji1787][emoji1787][emoji1787].kisa tuu kakake Alex kaguswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Popoma vipi ile ID nyingine wamekupiga ban?
 
Watu mnakosea kufananisha fedha na taaluma wakili mzuri anapimwa Kwa kushinda case sio Kwa Fedha zake!!!...
 
Ubora wa Wakili una pimwa kwa kushinda kesi? [emoji2][emoji2][emoji2] aisee
Mkuu vingine ni vichekesho, mtu akijilia kande akashiba anaweza kuja hapa na kuzungumzia ubora wa mawakili, tena kutokana na vikesi vya kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…