Inaitwa the opium of religion...mass hallucinations.! Taiwan ni taifa la wabuddhist.. Hiyo imani imewakolea mpaka kuna wakati wanapitilizaNakikumbuka vizuri sana. Walikua wakjiitwa wasabato masalia
Hoja yangu kwa kisai ilikua yeye asifikiri kwenye uislam hakuna uongo. Watu wanaongopewa.
Pastor Tony kapola anawaambia waumini wake alipuliza gesi ikajaa, mtu wa akili timamu anaona kabisa huu ni uongo.
Asante kwa pichaMwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
kuna wanamihadhara wa kiislam walizunguka nchi nzima kuukashifu ukristo, kana ustaadh mazinge, ustaadh kinyogoli na wenzao wengi, walikuwa wakizidiwa wanaleta fujo na mhadhara wao unaishia hapohapo. Ilifika muda mihahadhara ikafungiwa na serikaliYah ilibidi wakristo wapeleke watu kuisoma Quran ,vitabu vya Hadith vikatafsiriwa
Waislamu wakazidiwa wakaweka mpira kwapani, mihadhara ikapigwa marufuku enzi za JK, imerudi juzi juzi
Nakumbuka tukiwa Mlandizi ,tuliwapelekea moto waislamu,
Tukiwabatiza ,wakaenda kuleta polisi wakaja na defender
Awali Hawa jamaa walikuwa waisoma biblia kwa njia hasi, halafu wakristo hawawezi kuisoma Quran maana ni kiarabu hata vitabu vya Hadith ilikuwa kiarabu
Mpaka Leo wanawalaani waliotafsiri Quran hasa Baruan kwa kiswahili, walikuwa wanazinunua ili zipotee ,vitabu vya Hadith navyo hivo hivo
Kwasasa ngoma ishakuwa ngumu kwao maana kama Hadith tunazo kwa kiswahili , Quran tunayo ya Farsy, Baruani n.k
Umeeleza vizuri sanaImani ni suala la faragha, la binafsi.
Lina wakfu wake wa faragha, wa kuachwa liwe la binafsi. Hili ni suala la haki ya kikatiba, haki ya kibinadamu kuanzia December 8 1948 kwenye Universal Declaration of Human Rights.
Ndiyo maana ukiwa nyumbani kwako unasali, ukiwa msikitini, ukiwa kanisani, akija mtu kukusumbua huko, huyo tutamsema kuwa kakuvunjia faragha yako, tutamkemea, tutamsema kwa kukuvunjia haki yako ya kikatiba na kibinadamu.
Ila.
Ukileta suala la imani hapa JF, au ukishiriki kujadili mada ya dini hapa, hapa public square, umeshaliondolea suala hilo la dini wakfu wa faragha ya jambo la binafsi.
Umelifanya kuwa mjadala katika public square.
Umeliacha liwe suala la kuhojiwa, kujadiliwa, kudhihakiwa, kugonganishwa na dini nyingine.
Kwa sababu umelichukua suala la wakfu wa faragha ya kuwa la binafsi na kulifanya liwe jambo la kujadiliwa na umma.
Nimeipenda hii picha
MazorWakiristo ndio huwa wanapoteza mida yao kuuelezea Uislam vibaya na hata kumkashifu Mtume wetu (S.A.W) na hata Mwenyezi Mungu....na ati wajifanya kuijua dini kutuzidi😂😂😂
Ujumbe wake wenye maneno machache Una tafsiri kubwa sanaNimeipenda hii picha
Hawa watoto wa juzi hawajui hayakuna wanamihadhara wa kiislam walizunguka nchi nzima kuukashifu ukristo, kana ustaadh mazinge, ustaadh kinyogoli na wenzao wengi, walikuwa wakizidiwa wanaleta fujo na mhadhara wao unaishia hapohapo. Ilifika muda mihahadhara ikafungiwa na serikali