Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Always mindful![]()
645K views · 7.2K reactions | Strength is self control | Deep Talk
Strength is self controlwww.facebook.com
Always mindful![]()
645K views · 7.2K reactions | Strength is self control | Deep Talk
Strength is self controlwww.facebook.com
Yah ilibidi wakristo wapeleke watu kuisoma Quran ,vitabu vya Hadith vikatafsiriwaWaislam ndio wachokonozi wa imani za wengine, walianza kuwachokonoa wakristo, wakristo wakaamka wakaanza kuisoma quran na kuwajibu waislam. Mihadhara ya kiislam ilipamba moto kuushambulia ukristo, wakristo nao wakawajibu sawia waislam na quran yao. Awali wakristo waliwaachia waislam quran yao hawakuisoma kwa kuwa si imani yao, waislam wakaanza kuisoma biblia kwa mtazamo hasi ili kuubomoa ukristo, wakristo nao wakawajibu sawia, mpaka sasa waislam wamezidiwa na quran yao inaonekana ni utopolo na abrakadabra tu. Kila mtu ana imani yake na aheshimiwe kwa hilo, kuingilia vibaya imani za watu huo ni uchokozi
Unaweza kuweka hapa mada ambazo ni kashfa ?Ungemtag Hamis maana muda mwingine anaongea ujinga, amekua na mijadala ya kukashifu dini ya kiislamu
Kobaz ni wafia dini zaidi kuliko Wagalatia, wako hypersensitive na wana overeact sana dini ya Allah ikitomaswa na "makafiri' ndio maana raia wanapenda kuwachokonoa waone meltdown yao😁Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.
Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Sahihi kabisa ,Ukristo hautegemei Quran au uislamu ili usimame na kuaminikaKila mtu abaki na Dini yake.
Simple as that.
Yaan kila siku mtu analeta mada Yesu mara hivi. Yesu mara vile.
Unahisi Wakristo nao watakaa kimya?.
Hapana. Hatuwez kukaa kimya.
Lazima na sisi tutaonyesha upande wao jinsi ulivyo.
Uislam ulikuwa umejificha kwenye Kiarabu. Wakristo wa zaman walikuwa hawawez kuhoj sana kwasababu hawajaenda Madrasa wala hawana info za Dini ya Kiislam. Kwasababu ya barrier ya Lugha.
Sasahivi tunazo info kwasababu ya TEHAMA.
Kwahiyo Wakigusa tu. Na sisi tunawagusa.
Hatuna shida na Uislam.
Wala mm siuchukii wala sichukii Muislam yoyote.
Umeamua kunikomoa kbs mkuu 😄Nikupe na bonus!?😀View attachment 3532778
Hii clip umeipendea nini? Naona kila pahali unai attach!!!!Nikupe na bonus!?😀View attachment 3532778
Ulichokikemea unakiendeleza hapa.hao ni waislam, kwingine hawashadidii na kujinasibisha na dini. Wanakuambia Yesu mwenyewe alizikuta dini na akaziacha, kulikuwa na dini za kiyahudi kama mafarisayo na masadukayo wana misimamo mikali balaa, ni kama hawa waislam miaka hii wanakuambia hawabadiliki, mafundisho yao ni yaleyald karne na karne miaka nenda rudi hadithi za mtume ni zilezile hata uende wapi utazikuta zikisimuliwa. GEN Z wa kikobazi wameona ni ujinga wameamua kuachana na uislam waishi maisha huru bila kufungiwa kongwa la dini hiyo wanakula kitimoto hawadhuriki, hawana muda kusikiliza mawaidha msikitini wakisikiliza wazee walioharibiwa akili zao kudanganya watu kwa hadithi za kutungwa
Low IQNo evidence supports the claim that Mshana Jr is the "most stupid man" on Jamii Forums (JF). On the contrary, he is one of the platform’s most prominent and respected members.
Based on community discussions and platform data as of 2026:
Reputation and Expertise: Mshana Jr is widely regarded as a knowledgeable "Platinum Member" with expertise in diverse topics, including politics, sports, international affairs, and traditional African beliefs (such as uchawi or witchcraft).
Community Impact: Members have publicly credited him with providing life-changing advice and support during personal crises, such as depression and relationship issues.
Active Engagement: He is consistently recognized as one of the top contributors on the platform, known for posts that generate high levels of engagement and "all-time best contributor" status across multiple forums.
Tone of Posts: While some of his topics (especially those regarding spiritualism or superstitions) can be controversial, he is often praised for his calm demeanor and willingness to share "gems" of information with the community.
Criticism of any popular internet personality is common on open forums like Jamii Forums, but the prevailing consensus among active users as of 2026 is that he is an influential and "very important" member of the platform.
imebidi nikaiulize akili mnemba 😀
Hiyo zulu?Makonde?Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
Ubishi huwa unaanziaga hapo. Wewe unaamini walio kwenye Imani ya kikristo wanaongopewa, wao wanaamini walio kwenye uislam ndio wanaoongopewa.Kwanini unaandika uongo kijana ? Mbona mnaongepewa makanisani na hamchukui hatua ?
Au unaandika usichokijua au umekusudia kupotosha ?
Nyinyi mngekuwa kweli hamkubali kuongopewa, leo hii Ukristo usingekuwepo.
Je unakumbuka kisa cha Wasabato waliowahi kupiga kambi airport wakitaka kusafiri kwenda ulaya bila tickets wala visa?Ubishi huwa unaanziaga hapo. Wewe unaamini walio kwenye Imani ya kikristo wanaongopewa, wao wanaamini walio kwenye uislam ndio wanaoongopewa.
Nirudi kwako, unaamini walio kwenye uislam hawaongopewi? Sheikh anasimama msikitini anasema peponi mwanaume wa hali ya chini anapewa mabikra watatu, bikra za wanawake zitakua zinarudi kila baada ya tendo.
Unataka kuniambia huo sio uongo? Kwa Hali ya kawaida kabisa unaamini peponi watu watazawadiwa mabikra?
Nakikumbuka vizuri sana. Walikua wakjiitwa wasabato masaliaJe unakumbuka kisa cha Wasabato waliowahi kupiga kambi airport wakitaka kusafiri kwenda ulaya bila tickets wala visa?