Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

Pamoja na kwamba dini ni imani lakini lazima use na shule kichwani kuhusu hiyo imani na zingine pia
Kuna jambo tulisoma chuo kuhusu budhism, lecturer alitufundisha wale wanatumia principles, mindfulness, compassion na kuna 8 noble paths.. kwenye hizo noble paths moja alituelezea jinsi wachina wanavyotumia zile nguvu zao, wakitaka kujenga flyovers kwenye maziwa na bahari wanajenga usiku kwa sababu wanatawanyisha yale maji katikati.. sasa siwezi kuanza kubishana na watu wameamini wanavyojua nianze kuleta science yangu kama vile mi ndio isaac newton! Mambo tumeyakuta na tutaayacha! Wengine ni misingi tumepewa tangu udogo wetu na ndivyo tulivyokuwa! Nifike umri huu niungane na waisoamini kati yangu na hao watu nani ana akili?
 
Sasa kuna watu hawapelekwi kama kondoo tu , kuamini bila kuhoji chochote , wapo hivyo na hawawezi kuamini tu
 
Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.

Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.

Mada nyingi za dini humu zinaletwa na waislam dhidi ya Biblia. Kwa hiyo wanapojibiwa wasilalamike. Inashangaza muislam analeta mada ya Biblia JF! Biblia inamhusu nini?

Nadhani kuna inferiority complex ya namna fulani, mtu akiamini kuwa kwa kuibagaza Biblia, basi anaipandisha quran, halafu matokeo yake inakuwa ni kinyume chake, anatengeneza uwanja wa kuanika hadaa, uwongo na mapungufu ya kwenye quran yake.
 
Kwahiyo wote waliobaki wanapelekwa kasoro nyinyi? Kuna mtu kashikiwa rungu? Imani ni jambo binafsi sio amri au vipi
Na kukosoa au kutoamini ni haki za mtu, kama mnataka msikosolewe imani zenu zingeishia humo makanisani na misikitini hakuna ambae angeangaika kuwakosoa
 
Kila mtu abaki na Dini yake.
Simple as that.

Yaan kila siku mtu analeta mada Yesu mara hivi. Yesu mara vile.
Unahisi Wakristo nao watakaa kimya?.

Hapana. Hatuwez kukaa kimya.
Lazima na sisi tutaonyesha upande wao jinsi ulivyo.

Uislam ulikuwa umejificha kwenye Kiarabu. Wakristo wa zaman walikuwa hawawez kuhoj sana kwasababu hawajaenda Madrasa wala hawana info za Dini ya Kiislam. Kwasababu ya barrier ya Lugha.

Sasahivi tunazo info kwasababu ya TEHAMA.
Kwahiyo Wakigusa tu. Na sisi tunawagusa.

Hatuna shida na Uislam.
Wala mm siuchukii wala sichukii Muislam yoyote.
 
Na kukosoa au kutoamini ni haki za mtu, kama mnataka msikosolewe imani zenu zingeishia humo makanisani na misikitini hakuna ambae angeangaika kuwakosoa
Kukosoa na kutoa kashfa sijui matusi havina uhusuano, sana sana unaonekana mtu mwenye shida mahali huweiz kuandika mpaka utukane watu! kila imani ina critics zake nimesoma imani zote duniani chuoni hakuna dini iliyokamilika! Ila huku kujitia kimbelembele na imani za watu sijaona nyuzi za hinduism wala budhism zikikosolewa!
 
Huwa nashangaa mmatumbi na mdengereko anavyojititimu kuutetea uislam kwa nguvu nyingi wakati aliletewa na wafanyabishara wa kiarabu toka oman, wale masultan waliokuja kutawala zanzibar na kuanzisha kilimo cha karafuu. Sasa kama waarabu wenyewe huko saudia na iran hawautaki uislam wewe mchaga wa kishimundu na mnyaturu wa ilongero unaung'ang'ania uislam wa nini mpaka unamchukia ndugu yako asiye muislam na kumuita kafiri? Huo ni ujuha na uendawazimu, tupilia mbali uislam uwe huru kutoka tamaduni za kigeni
 
Kila mtu abaki na Dini yake.
Simple as that.

Yaan kila siku mtu analeta mada Yesu mara hivi. Yesu mara vile.
Unahisi Wakristo nao watakaa kimya?.

Hapana. Hatuwez kukaa kimya.
Lazima na sisi tutaonyesha upande wao jinsi ulivyo.

Uislam ulikuwa umejificha kwenye Kiarabu. Wakristo wa zaman walikuwa hawawez kuhoj sana kwasababu hawajaenda Madrasa wala hawana info za Dini ya Kiislam. Kwasababu ya barrier ya Lugha.

Sasahivi tunazo info kwasababu ya TEHAMA.
Kwahiyo Wakigusa tu. Na sisi tunawagusa.

Hatuna shida na Uislam.
Wala mm siuchukii wala sichukii Muislam yoyote.
Na kwanini uchukie dini isiyokuhusu! Si wendawazimu huo🙁
 
Kukosoa na kutoa kashfa sijui matusi havina uhusuano, sana sana unaonekana mtu mwenye shida mahali huweiz kuandika mpaka utukane watu! kila imani ina critics zake nimesoma imani zote duniani chuoni hakuna dini iliyokamilika! Ila huku kujitia kimbelembele na imani za watu sijaona nyuzi za hinduism wala budhism zikikosolewa!
Ubongo wa binadamu huwa unafanya kazi ya haraka sana ya kujilinda pale mtu anapokosa hoja , ndio maana kutukana hakuwezi epukika , kama hautaki kutukanwa ni bora kutoanzisha hizo mada za imani, imani yako kaa nayo kimya kimya sio kila mtu anataka aende huko mbinguni/ peponi unakotajaria wewe
 
Ubongo wa binadamu huwa unafanya kazi ya haraka sana ya kujilinda pale mtu anapokosa hoja , ndio maana kutukana hakuwezi epukika , kama hautaki kutukanwa ni bora kutoanzisha hizo mada za imani, imani yako kaa nayo kimya kimya sio kila mtu anataka aende huko mbinguni/ peonies unakotajaria wewe
Kama siwezi kukaa kimya kwanini isiyowahusu hamkai kimya? Mfano mimi sijui kuhusu uislamu mpaka nilivyosoma majukwaa ya humu juu juu, kwahiyo ndio sababu ya kuanza kuutusi uislamu? Uislamu siujui sijawahi kuujua nausikia tu na ndugu zangu wengi akiwemo mdogo wangu anayenifata ni muislamu, lakini sina sababu ya kuuchukia au kukasirika wengine wakiamini mambo yao! Mtu mwenye matusi ni insecure sana!
 
Watu wa dini miyeyusho sana. Kuna wengine hata kutofautisha Dini na Mungu hawajui.

Utasikia dini inakataza, dini inasema hivi. Ukimuuliza Mungu anasemaje anabaki kuweweseka.

Watu wa dini wanazidiwa upendo hadi na Wapagani.
Mbona wapagani nao ni watu wa dini tu.
 
Back
Top Bottom