LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Na kwanini uchukie dini isiyokuhusu! Si wendawazimu huo
Na kwanini uchukie dini isiyokuhusu! Si wendawazimu huo
Na ukristo vilevile umesahau kugusia maana haujaanzia tukuyuHuwa nashangaa mmatumbi na mdengereko anavyojititimu kuutetea uislam kwa nguvu nyingi wakati aliletewa na wafanyabishara wa kiarabu toka oman, wale masultan waliokuja kutawala zanzibar na kuanzisha kilimo cha karafuu. Sasa kama waarabu wenyewe huko saudia na iran hawautaki uislam wewe mchaga wa kishimundu na mnyaturu wa ilongero unaung'ang'ania uislam wa nini mpaka unamchukia ndugu yako asiye muislam na kumuita kafiri? Huo ni ujuha na uendawazimu, tupilia mbali uislam uwe huru kutoka tamaduni za kigeni
Na kwanini uchukie dini isiyokuhusu! Si wendawazimu huo🙁
Wewe upo hivyo ni sawa kabisa , ila jua kabisa sio lazima kila mtu awe kama wewe , na kuwa kama wewe sio kipimo cha ukamilifu .Kama siwezi kukaa kimya kwanini isiyowahusu hamkai kimya? Mfano mimi sijui kuhusu uislamu mpaka nilivyosoma majukwaa ya humu juu juu, kwahiyo ndio sababu ya kuanza kuutusi uislamu? Uislamu siujui sijawahi kuujua nausikia tu na ndugu zangu wengi akiwemo mdogo wangu anayenifata ni muislamu, lakini sina sababu ya kuuchukia au kukasirika wengine wakiamini mambo yao! Mtu mwenye matusi ni insecure sana!
Ubongo wa binadamu huwa unafanya kazi ya haraka sana ya kujilinda pale mtu anapokosa hoja , ndio maana kutukana hakuwezi epukika , kama hautaki kutukanwa ni bora kutoanzisha hizo mada za imani, imani yako kaa nayo kimya kimya sio kila mtu anataka aende huko mbinguni/ peonies unakotajaria wewe
💯💯💯💯💯💯Wakristo wa kisasa hawataki ujingaujinga wa kuwaongopea watu:
Hii ni dunia ya Tehama kwa sasa.
Din zote mbili zinafundisha chuki na kujitengaNi kweli Shem.
Ni uwendawazimu.
Ila Wao ndio wanaongoza kwa Chuki na matusi.
Mfano mzur ni hii post kuna jamaa katukana sana huko post za juu.
Kuna waislam wachache wanajadiliana na Wakristo kwa hoja. Na sio kitu kibaya.
Ni kupata ufaham zaid.
By the end of the day. Kila mtu anabak na anachoamini.
Kama kuna mtu anajitutumua JF kwa kutoa hoja zake za kidini kwa nia ya kusilimisha au kubatiza watu bas ana tatizo la akili.
Watu wanatoa hoja humu ili kuelezea info zaid kuhusu jambo fulani la dini fulan. Ni Elimu inayoongeza ufaham na maarifa.
Simple as that.
We Dont take it so serious.
Watu wako serious sana humu shem! Mtu anaonesha true colors mpaka mwisho😅 kama vile katumwa.. halafu cha ajabu haya mambo mi siyaoni mitaani ila mitandaoni🙌🏾 Kwa kifupi hakuna mtu ambaye atafata ushauri wa mtu kisa kaona tu maandishi labda tahira na wale walokosa misimamo, ni kihemko tu kila hoja🤥Ni kweli Shem.
Ni uwendawazimu.
Ila Wao ndio wanaongoza kwa Chuki na matusi.
Mfano mzur ni hii post kuna jamaa katukana sana huko post za juu.
Kuna waislam wachache wanajadiliana na Wakristo kwa hoja. Na sio kitu kibaya.
Ni kupata ufaham zaid.
By the end of the day. Kila mtu anabak na anachoamini.
Kama kuna mtu anajitutumua JF kwa kutoa hoja zake za kidini kwa nia ya kusilimisha au kubatiza watu bas ana tatizo la akili.
Watu wanatoa hoja humu ili kuelezea info zaid kuhusu jambo fulani la dini fulan. Ni Elimu inayoongeza ufaham na maarifa.
Simple as that.
We Dont take it so serious.
Ni ujinga tu, kila mtu aheshimu imani ya mwingine kama tunavyoheshimu mila na desturi za watuWewe upo hivyo ni sawa kabisa , ila jua kabisa sio lazima kila mtu awe kama wewe , na kuwa kama wewe sio kipimo cha ukamilifu .
Note;Mambo ya imani ni ishu ya mtu binafsi , ila ukiyaleta public kwenye jamii ya imani tofauti na wasio amini tegemea kupopolewa kwa namna yoyote ile.
Ndio njia za ubongo sasaKujilinda kwa kutukana ni udhaifu.
Na kama mtu ubongo wake hauwez vumilia hizi small disappointments bas haujakoma na inafanya usikomae pia.
Vitabu vyenu vya kiimani vinaheshimiana?Ni ujinga tu, kila mtu aheshimu imani ya mwingine kama tunavyoheshimu mila na desturi za watu
Huyo white mwambie atoke hapo, haoni wenzie wote magiza?Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
hao ni waislam, kwingine hawashadidii na kujinasibisha na dini. Wanakuambia Yesu mwenyewe alizikuta dini na akaziacha, kulikuwa na dini za kiyahudi kama mafarisayo na masadukayo wana misimamo mikali balaa, ni kama hawa waislam miaka hii wanakuambia hawabadiliki, mafundisho yao ni yaleyald karne na karne miaka nenda rudi hadithi za mtume ni zilezile hata uende wapi utazikuta zikisimuliwa. GEN Z wa kikobazi wameona ni ujinga wameamua kuachana na uislam waishi maisha huru bila kufungiwa kongwa la dini hiyo wanakula kitimoto hawadhuriki, hawana muda kusikiliza mawaidha msikitini wakisikiliza wazee walioharibiwa akili zao kudanganya watu kwa hadithi za kutungwaWatu wa dini miyeyusho sana. Kuna wengine hata kutofautisha Dini na Mungu hawajui.
Utasikia dini inakataza, dini inasema hivi. Ukimuuliza Mungu anasemaje anabaki kuweweseka.
Watu wa dini wanazidiwa upendo hadi na Wapagani.
Sasa hapo shida nini? Kila mtu akakae na kitabu chake..Din zote mbili zinafundisha chuki na kujitenga
Usifungwe nira na wasio amini.
Yesu ndie njia ya kweli na uzima .
Dini pekee ya mwenyeenzi Mungu ni uislamu .qur'an 3 .19
Asiyefuta dini ya uislamu hatokubaliwa qur'an3 .85
Chanzo cha ugomvi na tambo zote ni maelekezo toka kwenye vitabu vyenu vya kiimani
Muandishi sio mmoja hivyo sijui na sitaki kujua kitabu kisichonihusu cha kazi gani mimi? Nina imani moja nikafunue yasionihusu ya kwangu nimeyamaliza?Vitabu vyenu vya kiimani vinaheshimiana?
huyo mjuba yuko vizuri wewe, we ni vuguvugu unaonekanaUmeandika ukweli mtupu kuna wapuuzi fulani humu kazi yao kuponda imani za wenzao ujumbe uwafikie na wakome mara moja kama walivokoma kwenye maziwa ya mama yao...Nimeshawaambia swala la imani ni swala limekaa kimafumbo na mitego mikubwa hakuna binadamu yeyote wa kizazi hiki ataweza yote..Washike walichonacho finali ni huko tuendako baada ya kufa..HAMIS 77 aione kwenye jalada.
Dini zisipo kosolewa ni hatari zaidi ...tumia akili ...nimegundua una akili ndogo sana ...moja ya dhana mbaya sana za kidini ni kujaribu kuzuia dini kuhojiwa hii ilifikia hatua ya watu kuuliwa kisa wanahoji dini .... mijadara ya dini inasahidia sana kuua nguvu za kigaidi na za kidicteta za kidini ambazo utumika kufanya mambo maovu na kupotosha.Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
Walokole wanawapopoa na kuwatenga walutheri, wasabato , wakatolic na nkMuandishi sio mmoja hivyo sijui na sitaki kujua kitabu kisichonihusu cha kazi gani mimi? Nina imani moja nikafunue yasionihusu ya kwangu nimeyamaliza?