min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mtajua mwenyewe 😄Sasa hapo shida nini? Kila mtu akakae na kitabu chake..
Mtajua mwenyewe 😄Sasa hapo shida nini? Kila mtu akakae na kitabu chake..
inategemea na mtu anaamini vipi mafundisho hayo. Wengine hubeba mafundisho hivyohivyo yalivyo bila kupembua na kuelewa tafsiri yakeDin zote mbili zinafundisha chuki na kujitenga
Usifungwe nira na wasio amini.
Yesu ndie njia ya kweli na uzima .
Dini pekee ya mwenyeenzi Mungu ni uislamu .qur'an 3 .19
Asiyefuta dini ya uislamu hatokubaliwa qur'an3 .85
Chanzo cha ugomvi na tambo zote ni maelekezo toka kwenye vitabu vyenu vya kiimani
***** mama ako kmma la mamako wewe mseng baba ako anaefirwa kamaa alivyo firw huyo mtume wenu pedophile mnae abudu
Kma wewe
Ndio kwani hapo tatzio liko wapi? Unatafuta dini iliyo perfect kumbe?Walokole wanawapopoa na kuwatenga walutheri, wasabato , wakatolic na nk
Wasabato wanawapopoa wakatoliki
Huku mnaJifanya kukataa kupopoana wakati hata madhebu yenu wenyewe mnapopoana mbali hata na dini tofauti.
Sina haja na dini yoyote , nakuonyesha jinsi chuki zilivyo anzia humo humo kwenye vitabu vyenu vya diniNdio kwani hapo tatzio liko wapi? Unatafuta dini iliyo perfect kumbe?
swala la imani ni pana sana ndugu..wewe unamuona yuko vizuri kwasababu sio mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali ila na wewe ungekuwa kama yeye kuna sehemu mngepishana uelewa tu amini nakwambia...Sasa mwambie awe anaandika mafundisho ya dini au imani yake ili apate wafuasi hata hao unawaita Kobaz, lakini upo kwenye imani nyingine kutwa kucha ni kusema imani za watu..NI KWELI AU SIO KWELI LAKINI INAKUHUSU NINI? Haya ndo mtoa mada anayakataa.huyo mjuba yuko vizuri wewe, we ni kobazi vuguvugu unaonekana
Aache mazoea na mimii, kama anafirika yeye kwanini atusumbue sumbue sisi yani anadhani eti akikuita ***** ndi amekuweza wakati maeneo yanayoongozs kwa uchoko ni pwani ambako ndio ngome ya itikadi yao hionaona umemshushia kombora la nyuklia huyo kobazi mpevu, saa zote ye yuko kwenye uchoko tu
Nyie watu wa dini bhna , sasa matusi ya nini ? Taulo mnayofutia mat,,,o hiyo hiyo ndio mnafutia uso🚮Kama kuna mtu anataka ligi ya matusi aseme ili aandaliwe timu za matusi ashindane nazo, kuna members wanayajua matusi vema tu
huyo jamaa alishasema kwamba uislam ukiguswa na makafiri atawamwagia matusi mwanzo mwisho mpaka wakimbie wakae kimya, ndio maana anatukana hovyo hovyo kwenye nyuzi zinazogusa abrakadabra za uislam. Ni mwehu anatetea kitu asichokijua kimetoka wapiBro ELI COHEN Haina haja ya kutukanana na huyo jamaa.
Ana akili ndogo sana.
Kumbuka ukitukanana na Kichaa watu wanaona Vichaa wawil wanatukanana.
Mpuuze tafadhali. Tunamjua.
huyo jamaa alishasema kwamba uislam ukiguswa na makafiri atawamwagia matusi mwanzo mwisho mpaka wakimbie wakae kimya, ndio maana anatukana hovyo hovyo kwenye nyuzi zinazogusa abrakadabra za uislam. Ni mwehu anatetea kitu asichokijua kimetoka wapiBro ELI COHEN Haina haja ya kutukanana na huyo jamaa.
Ana akili ndogo sana.
Kumbuka ukitukanana na Kichaa watu wanaona Vichaa wawil wanatukanana.
Mpuuze tafadhali. Tunamjua.
Nyie watu wa dini bhna , sasa matusi ya nini ? Taulo mnayofutia mat,,,o hiyo hiyo ndio mnafutia uso
Wewe hukuilewa mada.Ila imeandikwa mahali hivi, kwenye kitabu chao kinasema;
Nyinyi mna dini yenu na mimi nina Dini yangu:
Siabudu mnaye mwabudu
Wala
Hamwabudu ninaye mwabudu:
Ingeishia hapa hakungekuwa na shida:
Kinachotokea sasa:
Haohao wanaosema hawaabudu tunaye mwabudu:
Wanageuka na kusema
"Tunamwabudu huyo huyo mnaye mwabudu nyinyi:
Sisi tunajitahidi sana kukubali walicho ambiwa na mtume wao ila wao hawakubali kabisa:
Na tumejitahidi kuwasisitiza waelewe mtume wao alivyo waambia na hawakubali kabisa:
Wanasisiza sana na kusema
Huyohuyo Mungu wenu Yehova na pengine anajiita jina lake NIKO AMBAYE NIKO ndio huyo tunaye mwabudu na sisi
Wanamtupa pembeni kabisa mungu wao Allah, ambaye sisi hatumjui na wala hakuwahi kujitambulisha kwa Manabii wetu:
Sasa Profesa Mshana Jr
Unatushaulije hapo ?
Haya ndio yanakataliwa.Sisi hatukitambui hiki kiumbe kinacho itwa Allah na kinachosikia lugha ya Kiarabu tu:
Ila tulikisoma mahali kinatambulika hivi:
Biblia ya Kiarabu – Rafiki au Adui wa Uislamu?
Sam Shamoun
Asili ya kipagani ya mungu wa Kiislamu
Sio siri kwa wale waliosoma historia na asili ya Uislamu kwamba Muhammad alizaliwa kwa kabila la kipagani lililoabudu miungu mingi ya kike na kiume, mkuu wao akiwa Allah. Kwa mfano, fasihi ya hadithi inasema kwamba wapagani walikuwa na sanamu 360 zilizowekwa kuzunguka Kaba ambazo Muhammad aliziharibu baadaye alipoiteka Makka:
Abdullah alisimulia:
Mtume alipoingia Makka siku ya Ushindi, kulikuwa na sanamu 360 kuzunguka Ka'ba. Mtume alianza kuzipiga kwa fimbo aliyokuwa nayo mkononi mwake na alikuwa akisema, "Ukweli umekuja na Uongo hautaanza wala hautatokea tena." (Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 5, Kitabu cha 59, Nambari 583)
Kabila la kipagani la Muhammad liliamini zaidi kwamba mungu wao Allah alikuwa na angalau binti watatu ambao walimwabudu kama miungu ya kike. Majina ya binti za Allah yalikuwa Allat, al-Uzza na Manat.
Zaidi ya hayo, kulingana na vyanzo vya Kiislamu, jina la baba yake Muhammad lilikuwa Abdullah, ambalo linamaanisha "mtumwa wa Allah." Hata hivyo, licha ya jina lake kuwa "mtumwa wa Allah," baba yake Muhammad bado alienda kuzimu kulingana na Muhammad kwa kuwa alikuwa mpagani:
Kwa wanao jua kimombo hebu twende hapa
The Arabic Bible – Islam’s Friend or Foe?
Sam Shamoun
The pagan origins of the Islamic god
It is no secret to those who have studied the history and origins of Islam that Muhammad was born to a pagan tribe who worshiped a host of gods and goddesses, the chief of whom was Allah. For example, the hadith literature states that the pagans had 360 idols placed around the Kabah which Muhammad subsequently destroyed when he conquered Mecca:
Narrated Abdullah:
When the Prophet entered Mecca on the day of the Conquest, there were 360 idols around the Ka'ba. The Prophet started striking them with a stick he had in his hand and was saying, "Truth has come and Falsehood will neither start nor will it reappear.” (Sahih al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 583)
Muhammad’s pagan tribe further believed that their god Allah had at least three daughters whom they worshiped as goddesses. The names of Allah’s daughters were Allat, al-Uzza and Manat.
Moreover, according to the Islamic sources Muhammad’s father’s name was Abdullah, which means “slave of Allah.” However, despite his name being “slave of Allah” Muhammad’s father still went to hell according to Muhammad since he was a pagan:
naona unaongea kwa upoleswala la imani ni pana sana ndugu..wewe unamuona yuko vizuri kwasababu sio mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali ila na wewe ungekuwa kama yeye kuna sehemu mngepishana uelewa tu amini nakwambia...Sasa mwambie awe anaandika mafundisho ya dini au imani yake ili apate wafuasi hata hao unawaita Kobaz, lakini upo kwenye imani nyingine kutwa kucha ni kusema imani za watu..NI KWELI AU SIO KWELI LAKINI INAKUHUSU NINI? Haya ndo mtoa mada anayakataa.
upole ndo Hulka yangu na ndvo nilivoumbwa.naona unaongea kwa upole