Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.
Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Na sisi tunawapokea Kama walivyokuja halafu wanaanza kulialia na kuita modzWaislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.
Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Ahsante kaka ila mimi natamani kuhamia kwenye dini ya hii picha uliyopandisha nimechoka kukaa bila dini kakaMwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
BUNDI ana wiki sasa kakaa kwenye mti wa POPO sio kwamba yupo jana tu hapan wiki anaenda ya pili usiku anakuja kukaa asubuhi hii analia na wapo wawili sio mmoja sema mmoja ni muoga akiona watu anajificha mwingine haogopi watu unaweza kumsogelea kabisa ametulia tu, mimi nimefanya ila usoni BUNDI ni anatisha km mtu tena usiku ukimulika taa unaona km kamtu kanakuangalia kumbe BUNDIKwa imani za kiafrika ni nuksi hasa kifo au mambo kuharibika.. Kwa wachina ni bahati njema, ni ngekewa
Hilo litawezekana tu kwa yale mataifa koloni na si dunia nzima ya watu bilioni 7+Kuhusu kuwa na dini moja duniani, mbona hilo ni ajenda ya wakubwa wa dunia hii ndugu mshana jr? Hujawahi kusikia CHRISLAM, mpango wa kuunganisha dini ili iwe moja na kuanza ku practice huko mashariki ya kati? Tunaambiwa kutakuwa na dini moja tu duniani, hutaki utaadhibiwa vibaya ili tu uabudu hiyo dini moja!
Bundi anapokaa ndan/njei ya nyumba yako, kiroho mara nyingi huashiria ujumbe wenye nguvu wa hekima, mpito, na ujuzi wa ndani, akifanya kama mjumbe kutoka ulimwengu wa roho au wito wa uchunguzi wa kina, akikuhimiza kuona nje ya juu na kuamini uvumbuzi wako unapopitia mabadiliko ya maisha, ingawa maana hutofautiana kutoka kwa bahati nzuri (utajiri) hadi imani hadi za kienyeji, kulingana na imani za kitamaduni.BUNDI ana wiki sasa kakaa kwenye mti wa POPO sio kwamba yupo jana tu hapan wiki anaenda ya pili usiku anakuja kukaa asubuhi hii analia na wapo wawili sio mmoja sema mmoja ni muoga akiona watu anajificha mwingine haogopi watu unaweza kumsogelea kabisa ametulia tu, mimi nimefanya ila usoni BUNDI ni anatisha km mtu tena usiku ukimulika taa unaona km kamtu kanakuangalia kumbe BUNDI
Wakristo wanafiki sana,nyie ndio watukanaji wakubwa wa waislam hapa JfMwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
Mi mwenyewe huwa najiuliza sana hili swala unakuta mtu kashinda siku nzima kutukanana na wenye dini yao..yaani mtu umemaliza kusoma dini yako yote vizuri mpaka uhamie kwenye imani za watu wengine kutafuta mapungufu! Naona ni kama insecurity moja kubwa sana kama unajiamini na dini yako kwanini uingilie ya mtu mwingine tena kwa kashfa nzito kila mtu aamini anachokiamini period!!Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za kuamini katika dini fulani
Dini ni njia ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu asiyeonekana kwa macho ya nyama
Dini ni tokeo la kibinadamu kutafuta asili yake, chanzo chake, uhalisia wake wa jana leo na kesho
Kama watu wasivyofanana dini haziwezi kamwe kufanana
Kama ilivyo tofauti kwenye mambo mengi dini nazo zina tofauti zake
Kama mwanadamu asivyo mkamilifu, chochote kinachozalishwa naye si kikamilifu
Haitakaa itokee dunia nzima iwe na dini moja
Wewe amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini
Elimu yako kwenye dini yako ni ya kuungaunga uliyofundishwa na wakufunzi wa kuungaunga, kutoka kwenye vitabu vilivyotokana na asili na tamaduni za wengine! Vena kukaa kimya
Bhavaghita waachie Wakrishna na ukiwa na lolote waone wao.. Maana ndio wenye msahafu wao
Biblia waachie wakristo wenyewe.. Hata kama ni malumbano waache walumbane wenyewe
Sutra waachie Mabudha maana wanaijua kuliko wewe.. Wanashinda nayo wanalala nayo
Quran vilevile.. Hakuna mjuzi wa Quran isipokuwa Muislam mwenyewe
Wenye imani zingine zikiwemo za asili na hata waabudu shetani.. Wapewe heshima yao
Kimbelenyuma kwenye imani za wengine ni ushamba, ni ujuha ni upuuzi kama upuuzi mwingine!
Huwezi kuyajua in deep ya w
Nyumba fulani kuliko wenye nyumba wenyewe!
Dini zenyewe zinazowafanya muwakashifu watu si zenyu wala hamna ufahamu za kutosha kuzijua.. Hata ukiulizwa undani wa dini yako utaishia kujibu yale uliyokaririshwa na si vinginevyo
Usitumie nguvu nyingi mpaka povu linakutoka mdomoni kutaka kuthibitisha kitu kisicho na ithibati za kisayansi
Amini unachoamini nami niache niamini ninachoamini.. Nitakuacha na mapungufu ya dini yako na ya kwangu niachie mwenyewe
Hakuna vita ya kidini iliwahi shinda.. Kinachoshinda siku zote ni ukimyaView attachment 3532754
Sijaelewa🤔Kila dini ina doctrine zake
Pamoja na kwamba msingi wa dini ni kuamini lakini kuna backup ya elimu ilk kuepuka kuwa na blind faith imani bila kuhoji kwanini unaamini!
Kuna baadhi ya dini.. Mafundisho yake huishia ndani ya kuta za nyumba za ibada na mwamini akitoka hapo hana wa kumshikia bakora! Ila kuna baadhi ya imani zimeshindwa kutenganisha dini na maisha ya kawaida
Ni lazima na ni muhimu kufahamu mipaka ya dini na maisha ya kawaida.. Kwamba dini inapoishia ndipo maisha yanapoanzia na kinyume chake
Kwanini yani?Waulizeni kwanini wanaamini hivyo, halafu mjadili, sio kurushiana matusi tu.
Kwenye mdahalo, pande husika zinatakiwa kutafuta nafasi ya kati(middleground) na si kushindana.
Hapo awali Wakristo hawakuwa na habari kabisa kuhusu Uislamu na Qurani:Wakristo wanafiki sana,nyie ndio watukanaji wakubwa wa waislam hapa Jf
Kila mtu anao uhuru wa kuamini anacho amin , ila ukileta imani yako kwenye hadhira kama hii utapopolewa tuMi mwenyewe huwa najiuliza sana hili swala unakuta mtu kashinda siku nzima kutukanana na wenye dini yao..yaani mtu umemaliza kusoma dini yako yote vizuri mpaka uhamie kwenye imani za watu wengine kutafuta mapungufu! Naona ni kama insecurity moja kubwa sana kama unajiamini na dini yako kwanini uingilie ya mtu mwingine tena kwa kashfa nzito kila mtu aamini anachokiamini period!!