Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Nimeshakwambia Demi wachawi utajiri wao sio haya makaratazi ya BOT, tena kwao wao haya inaweza ikawa wanaona km takataka tu kwao huu sio utajiri kwao, nnapozungumzia imani nazungumzia ulimwengu wa ROHO sio ulimwengu wa MWILI,

Hili nilishakuelekeza hapo mwanzo ukasema niendelee umeelewa unanirudisha tena nyuma, naona unaniuliza tena na tena na tena emu zimua kwanza hio bange basi usiivute kavu kavu na mbegu ziweke pembeni,

Umenikazia sana ubongo Demi sijui kwanini hautaki kuelewa jambo dogo km hilo,
 
Na kwa nn ukomae na kuchukua pesa BOT kwa nn usiulize kwa nn wachawi hawawezi kuingia ikulu na kuiba lile faili la njano na kutokomea nalo milele
Sijui kuhusu hilo file la njano ikulu. Unaweza ukawahoji walete majibu.

Mimi nakomaa na pesa maana nazihitaji...wakinishawishi inawezekana najiunga nao
 
Ngoja wenyewe waje
 
Uwezi ingia bank kuiba pesa kwa sabb imezindikwa kichawi kama unaweza ingia na mitutu kaibe
Ina maana hakuna uchawi wa juu zaidi kutengua hayo mazindiko?
Kwamba sehemu ikizindikwa hakuna mchawi mwingine mwenye uwezo wa kutengua?
 
Lakini pamoja na yote haya uliyoyaandika haimaanishi kwamba uchawi haupo.
Siku ukiingia kwenye 18 zao ndo utajua hujui.
 
Ndugu uchawi upo kabisa na wachawi wapo. Najua ni vigumu kuelezea lakini hizi ni personal experiences za mambo halisi ya kiroho. Na kujua au kutokujua uwepo wa uchawi ni jukumu binafsi la mtu.Hata Mungu hamlazimishi mtu kujua uwepo wa jambo lolote ni jukumu la binadamu.
Na wewe unaamini mtu anaweza kukuibia pesa kwa ushirikina?
 
Kutoamini uchawi haifanyi usiwepo kama upo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…