Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Boss hii dawa ipo .na nilishawahi tumia na unafanyiwa test kabisa inatakiwa usiwe na hofu tu.endelea kutoamini mzee
 
nina mashaka na umri wako na huna exposure ya maisha,

ila kama una 35+ na una exposure ya maisha na umezunguka kwa utafutaji iwe umepata au umekosa

basi usingekuja kuandika huu utumbo wako hapa,we subiria shemeji apike ugal ule ukabeti
upo sahihi mkuu,mwenyewe mwanzo nilikuwa kama huyu mleta mada ila baada ya kutembea sehem mbali mbali haswa vijijini ndani kabisa niliweza kuona vitu ambavyo nikimwabia mtu ataona fix au movie tu.
 
Wewe mwenyewe ndiye mchawi mkubwa ndiyo maana unawadanganya na wengine wasiamini uchawi kumbe wewe ndiye unaua ndugu zako.
 

Unachoongea wewe ni uhalifu. Wahalifu wanatiwa nguvuni, kuchomwa moto au mob justice ya aine yeyote ile. Matter of fact, uhalifu upo zaidi kwa watu maskini, wenye elimu duni na wanaoamini sana story za uchawi na/au miujiza ya Mungu kuliko ushuani. Ingekua uchawi una nguvu uhalifu ungekua umeisha zamani sana.

Binafsi nishaomba mara kibao hapa hapa jukwani nirogwe nipotee kabisa nisirudi JF ila hadi leo nadunda tu, kama wewe unawajua wataalam waambie wanitengeneze tuokoe nguvu na muda. Huwa hamkosi sababu za kukwepa.
 
Hata kwenye kitabu cha Hesabu 22, 23, 24, 25 mpaka MUNGU aliamua kufungua kinywa cha punda
 
Noja niwasaidie kidogo wavivu wa kufikiri na wabwatukaji, uchawi upo tena sana.

Uchawi ni swala la ulimwengu wa kiroho ambao binadamu hauwezi kuona kwa macho ya kawaida, nguvu za kiroho zinaonekana kwa jicho la tatu “third eye”

Swala la kusema mbona mchawi hawezi kuiba bank ni ufinyu wa kufikiri wa hali ya chini, na nikuambie tu hata leo mchawi akiingia ndani kwako hawezi kuiba hata mia yako

Kuna nguvu zimewekwa na wamiliki wa hizo pesa duniani kote, ndio maana unaona ni za moto hazishikiki na mchawi yoyote, Mungu hakushusha mapipa ya pesa duniani wala hakutengeneza bali tumezikuta, hivyo tambua pesa ina wamiliki wake wa hapa hapa duniani, hawashikiki na ndo watu wanaoongoza hii dunia, mwenye upeo mkubwa amenielewa.

Swala la mbona mchawi hawezi kuzamia nchi za nje pia ni umbumbumbu wa hali ya juu, kila eneo duniani lina watawala wake mangi ndio maana ww leo hii hauwezi kwenda kenya,south,canada,america bila kuwa na vibali, lasiivyo utaumia

Kila anga lina watu wake/wamiliki wachawi hawaruki ovyo ovyo.

Maswala ya kuiba pesa yapo ila ni chuma ulete, mazingaumbwe

Kama ww unaamini katika uwepo wa Mungu basi amini katika uwepo wa uchawi/shetani Maana zote ni nguvu za kiroho ila zina tenda tofauti, moja ina matendo ingine matendo machafu

Ila kama hauamini katika uwepo wa Mungu basi ntaheshimu mawazo yako kwamba uchawi haupo.
 
Mshana, umemjibu vizuri sana!
 
Unaamini katika dini kati ya ukristo au uislamu?
 
Unaamini katika dini kati ya ukristo na uislamu?
 

Umeandika pumba za kiwango Cha PhD. Na wewe unajiita great thinker 🤣🤣
 
Very substandard IQ
 
Unaandika ujinga tena kwa kufokaa?
 
Mitaa niliyokulia inasifika kwa uchawi mji mzima. Yaani ndiyo top ukitaja uchawi mji mzima. Na mji niliokulia una sifa za kutosha kuhusu uchawi. Lakini sijawahi kuona huo uchawi. Zaidi zaidi ni watu kushutumiana.
Wewe Pia Ni Mchawi Usiyejimbua.
Wapo watu wanaotenda uchawi na hawajui ila Jamii Ndiyo Huwa Zinawajua niwa Chawi.wewe utakuwa Mmoja Wapo.Na siku zote Watu wanaokataa kuwa Uchawi Haupo Lkn Wanakubali Kuna Mungu.Basi Hao Watu Moja Kwa Moja Niwa Chawi.Nilishakutana Nao Kwahiyo Sikushangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…