Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu.
Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake.
Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu.
Ninasema hivyo kwa sababu, Waarabu ndoo Watu pekee kwenye huu ulimwengu wanaotumia mbinu za kioga pale wanapopambana na adui zao.
Watu wengi husema waarabu wanaroho ngumu na ni majasiri kwa sababu ya mbinu ya kujitoa mhanga au kujiua.
Mbinu hiyo hutumiwa na watu walioishiwa Akili, mbinu, ujanja. Yaani pale ambapo umeishiwa akili ndipo unatumia mbinu hiyo.
Yapo mazingira mtu anaweza kujitoa mhanga na kufa pamoja na adui hasa pale unapokuwa umetekwa au upo uwanja wa vita.
Kimedani, Mbinu ya kukimbia na kutoroka ndio mbinu inayoonekana ya kishujaa.
Lakini ati unaenda kujilipua labda ni sokoni kwa Watu wasio na hili wala lile. Huo ni uoga.
Waarabu wanaongoza kwa matukio ya Ugaidi. Unakuta Kuna kikundi cha wanamgambo(hawawezi kuitwa wanajeshi kwa sababu mwanajeshi hana sifa ya kuwa muoga) hawana kambi. Sifa ya gaidi hana kambi. Hana kambi kwa sababu ya Uoga.
Waarabu ndio jamii pekee duniani inayotumia mpaka watoto kufanya matendo ya kigaidi, wanawake halikadhalika.
Sijawahi sikia Wajapan, wachina, Waafrika, Wahindi n.k.
Waarabu ndio jamii pekee inayoweza kutumia Raia kama kinga pale wanapopambana na adui zao.
Yaani bora hawa M23 Huko Congo,
Kumtumia wanawake au watoto kujikinga na mashambulizi ya adui zako ni uoga wa kiwango cha juu Kabisa.
Waarabu badala wakimbilie msituni, jangwani au maporini sehemu isiyo na makazi ya Watu ili wakachapane vizuri na adui zao. Wao wanakimbilia mijini huko ili wakajifiche kwa Watu wasiohusika.
Waarabu ndio Watu pekee ambao wakipigana hawapendi kuvaa Sare zinazowatambulisha ili maadui zao wakiwaona iwe rahisi kupambana nao. Isipokuwa wao huvaa nguo za kiraia ili wakizidiwa wanajichanganya na Raia. Mwisho adui akipiga waliovalia kiraia wapige kelele kuwa adui anapiga rais. Uoga wa kiwango cha juu kabisa.
Hata Waasi wa Afrika huvaa Sare zinazowatambulisha. Lakini kwa Waarabu.
Vita vingi vya Waarabu wanavaa kiraia.
unakuta wamepanda magari ya kawaida kama hillux wapambanaji. Wakizidiwa wanatupa silaha alafu wanasema wao ni Raia. Uoga wa kiwango cha juu.
Wachina, Wajapan, Wakorea, Wahindi, Wayahudi, Waafrika, na jamii zingine mbona wao hawatumii mbinu hizo za kioga?
Waarabu wakiacha uoga wanauwezo wa kufika mbali sana. Uoga unaleta Unafiki na utengano.
Yaani jamii ya kiarabu ilivyokubwa inashangaza inakuwaje wanashindwa na Wazungu. Yote ni sababu ya uoga.
Wanakete muhimu ya kuwaunganisha ambayo ni Dini ya uislamu lakini uoga unawachelewesha.
Nimemaliza. Siku njema