Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu
Naamini pia kuwa kuna 'muono' hafifu ambao mara nyingi husababishwa na ujeuri,kiburi, dharau,ujuaji wa kishamba n.k.


uoga


/uwɔga/



hali ya kuwa na hofu ya kufikwa na jambo la kutisha au la taabu; hali ya kutoweza kustahimili vitisho

Maana nyingine: kitete, kicho, hofu, hawafu




Swali: Taja binaadamu anayekosa hiyo sifa?


Wachina, Wajapan, Wakorea, Wahindi, Wayahudi, Waafrika, na jamii zingine mbona wao hawatumii mbinu hizo za kioga?

kamikaze​



: a member of a Japanese air attack corps in World War II assigned to make a suicidal crash on a target (such as a ship)


 
Kwa moto anaomwagiwaa muisraeli hapo mashariki ya kati na teknolojia yake dhidi ya wanamgambo nadiriki kusema waarabu si waoga bali ni majasiri sana.

Ujasiri wa kijinga.
Wenzako wanaangalia mwisho wanapata nini na mwisho nani atakuwa mshindi.
Tangu wameonyesha huo ujasiri wamepata faida gani zaidi ya hasara ya kuzidi kumegewa nchi yao
 
Heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Wapalestina tangu wameanza kujikomboa kutoka kwenye dhulma ya Wayahudi wanapata faida au hasara?

Kwa sasa nchi yao imemegwa pakubwa na mwaka huu wakicheza hiyo Gaza nayo inachukuliwa.
Ni kupigana mpaka kieleweke. Mmarekani alienda afghanistan akawakuta Taliban na kaondoka kawaacha hao hao Taliban. Hata kama mtu amekuzidi nguvu unampa shida unamtoa ngeu mpaka achoke.
 
Waarabu ndo Jamii isiyo na Uoga Duniani, Hata serikali zao huwa zinakaa na wananchi wake kimachale sana Maan muda wowote kinawez kutokea Chochote,

Sio huku sisi Africa anasimama Mtu mmoja tu mwenye Kitambi tena Age imeenda anawapiga mkwara Raia zaidi ya Million 60 na wote wanachutama Wanamuogopa,

Huko uarabuni kikundi cha watu wasiozidi hata 8000 Wanaweza kutikisa Nchi yenye Raia million Moja.
 
Heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Wapalestina tangu wameanza kujikomboa kutoka kwenye dhulma ya Wayahudi wanapata faida au hasara?

Kwa sasa nchi yao imemegwa pakubwa na mwaka huu wakicheza hiyo Gaza nayo inachukuliwa.
Israel aliingia Plestine kichwa tu waarabu wakasema allah akbar, kabla hawajakaa sawa, Israel akaingiza tena kuchomoa na imekuwa haiwezekani na kila wakiingiziwa wao husema all akbar sasa hivi ndo mazima israel ishazama wao wamebakia tu allah akbar
 
Afu wakipasuliwa wanakuja kutulilia ba kusingizia kuwa wanaua watoto wao. Kumbe wao ndoo wanafanya upuuzi katika kujipambania. Hii jamii ni janja janja saana na nijamii ya kuiepuka kwa gharama kubwa maana imejaa uongo uongo na kulialia afu ugaidi pamoja na ushenz mwingine. Ila tu acha wapelekewe moto kwanza. Mtu anayehifadhi magaidi chini ya makazi yake nayeye ni gaidi hivyo wote magaidi washughulikiwe. Mkuu uzi umeutendea haki na umeandika vzr kabsa bila kuficha uhalisia na ushauri umetoa na maonyo pia.
 
Kinyesi…
Hivi sare za kijeshi mnapiga nayo picha tu na kutupa, mbele ya IDF hakuna mwanamke anaweza kuvaa sare za jeshi na kusimama mbele yao kupambana nao

Hamas kelele tu hamna lolote, ila ukisikia sasa redio za akina Ritz duh utasikia Gaza ni makaburi ya kuzika IDF yaan blablah nyingi tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ushindi wa vita siku hizi unategemea sana aina ya silaha tulizo nazo na si ujasiri na ubora wa kupigana katika uwanja wa vita.
Israel ametangaza vita, nilitegema hao Hamas watakaa mpakani kukabiliana na jeshi la Israel ila wamekimbilia uraiani wakidai wanaonewa
 
Inawezekana na argue na mjinga ambaye hajui anaongea nini.samahani naomba nikuache uendelee na wengine
Angalia pale Sudan. Waarabu wanaua raia ovyo, wanauliza wewe ni mwarabu? Wakiona hufanani wanakupiga risasi.
Waende wapambane na jeshi na siyo kuonewa raia ovyo.
Mtu anavaa mabomu anaenda kujilipua sehemu yenye raia. Huu ni uoga wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…