Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

Uoga maana yake nini ?
 
Nyuzi zako huwa unazipanga vizuri sana, ila hizi za waarabu ziko hovyo sana.

Huenda unatumia hisia zaidi kwenye uandishi wa hizi nyuzi zako.

Ni fupi zisizo na mpangilio mzuri.
 
Mtanzania ndiye mtu mwoga kabisa kabisa.
 
Nikumbusheni siku waarabu wamejitoa mhanga kwa bomu
 
Una wivu wewe.hakuna watu matajiri duniani kama waarabu hata hapa Kwetu waarabu wengi matajiri kama Bakhressa,GSM,Oilcom,Lakeoil,na wengineo.Vita ya Ghaza sio ya waarabu wote.Ni kati ya wayahudi na vikundi vya wanamgambo ambao silaha zao ni Rifles tu.
 
Western media brainwashed
 
Well said, hivi Wahehe wetu hapa Tanzania wana asili ya uarabu, maana wanapenda sana kujiua.
 
Israel ametangaza vita, nilitegema hao Hamas watakaa mpakani kukabiliana na jeshi la Israel ila wamekimbilia uraiani wakidai wanaonewa
Vita zilikuwa zamani mapigano uso kwa uso, sio sasa hivi unaagiza tu mabomu kutokea nchini kwako mabomu yanaenda kuuwa watoto na kubomoa mahospitali.
 
Angalia pale Sudan. Waarabu wanaua raia ovyo, wanauliza wewe ni mwarabu? Wakiona hufanani wanakupiga risasi.
Waende wapambane na jeshi na siyo kuonewa raia ovyo.
Mtu anavaa mabomu anaenda kujilipua sehemu yenye raia. Huu ni uoga wa hali ya juu
Ni uoga wa nini sasa? Maana katika vitu vyenye kuogopwa ni kifo, sasa huo uoga wa waarabu ni uoga wa kuogopa nini?
 
Ni uoga wa nini sasa? Maana katika vitu vyenye kuogopwa ni kifo, sasa huo uoga wa waarabu ni uoga wa kuogopa nini?
Angalia vikundi vya kigaidi vya waarabu na wanaofuata mwaarabu. Waoga sana
Boko Haramu anavamia wananchi anaua, anabaka na kuteka. Kama hawaogopi kifo kwanini wasiwe wanavamia kambi za jeshi na siyo raia?
Angalia hao Hamas, Israel imetangaza vita, wao wamechangamana na raia na wengine mpk sasa wapo mashimoni hawatoki.
Kama walikuwa hawaogopi kifo, wangevamia kambi za jeshi la Israel na wangebaki mpakani ili kupigana na jeshi la Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…