Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

Vita zilikuwa zamani mapigano uso kwa uso, sio sasa hivi unaagiza tu mabomu kutokea nchini kwako mabomu yanaenda kuuwa watoto na kubomoa mahospitali.
Njia nzuri ya kukabiliana na magaidi ni kutumia njia anayotumia magaidi.
Ukitumia njia ya kumtafuta yeye, ataendelea kuua raia wako na kuteka ila ukirusha makombora na kuharibu miundombinu yake na kuua wananchi wake. Siku nyingine hawezi kufanya ujinga tena.
Njia ya Israel nimeipenda. Magaidi wanatakiwa wapigwe hivyo maana mtaheshimiana. Ukimwaga mboga, unakula ugali, tuone nani atabaki na njaa
 
Muoga ni yule anyepaa angani au yupo miles elfu kadhaa akibonyeza kitufe kutupa bomu...
 
Ni kweli kabisa
Cha kushangaza wanaji9naga mashujaa hatarii
Kumbe akili ndogo iliyotawaliwa na hofu, wasiwasi, mashaka, unaa, ushirikina na uoga.
 
Naona waarabu weusi wa makunduchi, kwa mpalange, mwembe kiuno, dole washaanza kukutukana pole sana mtibeli wavumilie hawa ndivyo walivyo wana mapungufu mengi
Hawa jamaa ni waoga na wavivu mpaka kufikiri kwao
 
Mtu anayejilipua kujitoa muhanga utasema ni muoga wa kifo? Hivi kama unaogopa kufa utaweza kujilipua kweli mkuu?
 
Kumbe magaidi huwa na miundombinu na wananchi wake?
 
Hata ikiwa ni magonjwa ya akili point ni kwamba hao watu hawaogopi kifo na ndio maana wanaweza kujilipua, sasa ukisema mtu huyo ni muoga nitakushangaa.

Mgonjwa wa akili huwezi muita ni jasiri labda nawe uwe hamnazo.
 
Mgonjwa wa akili huwezi muita ni jasiri labda nawe uwe hamnazo.
Elewa point yangu kwamba hao watu sio waoga aina ya ujasiri wao waarabu sie waafrika hatuna hasa Tz ambao mikwara ya polisi tu tunaiogopa, sasa kama wapo hivyo kwa sababu ya magonjwa ya akili basi wewe ndio unashangaza kuwaita watu wenye magonjwa ya akili kuwa ni waoga.
 

Kujificha nyuma ya wanawake na watoto na raià kama ndio ujasiri basi nakuunga mkono
 
Kujificha nyuma ya wanawake na watoto na raià kama ndio ujasiri basi nakuunga mkono
Kumbuka hivyo ni vikundi tu sasa sijui ulitaka wajikusanye sehemu moja ndio wafanye mashambulizi kisha wabutuliwe na mabomu wafe ndio uone kuwa ni majasiri?
 

Suala la luvunja matofali kwa kichwa ile ni show tu. Kuna majeshi makubwa na ya kisasa lakini bado yanafanya hizo mambo.
Lakin wakiwa kwenye uwanja wa vita si kwamba ndio wanaenda kutumia vile no
Kule wana skills zingine ambazo hawazionyeshi public
 
Kaka silaha zao manati,mawe na bunduki za kizamami ila kwa ushujaa hawaigopi wape silaha kali uone kama israel na waarabu wengine watabaki
 
Mimi naona hoja yako ingekuwa hawana umoja. Sio uoga. Kiukweli siku waarabu watapokuwa na umoja wazungu wa Israel, ulaya na Marekani watapata tabu sanaaaa.
 
Kaka silaha zao manati,mawe na bunduki za kizamami ila kwa ushujaa hawaigopi wape silaha kali uone kama israel na waarabu wengine watabaki
Kuna nani anaweza kuwapa magaidi silaha kali?
Uwape silaha ili waanzishe vikundi vya kigaidi vya kuua raia?
Kama Hamas wangekuwa mashujaa kweli watangaza vita na Israel. Kutangaza vita ndiyo mbinu bora za mashujaa wanazotumia hata adui yako anajipanga.
Sasa wewe unaenda kuvamia raia na kuua raia halafu unajiita shujaa. Kweli?
Vita huwa mnachukulia rahisi tu kumbuka Hamas wamejificha kwenye mahandaki yaliyopo chini ya msikiti, shule, hospital na nyumba zingine zinazotoa huduma za kijamii.
Wakianza kuwatafuta mnasema ohh Israel ameshindwa mbona amechukua muda mrefu ila akianza kulipua shule, hospital, misikiti n.k mnaanza kufanya maandamo analipua sijui kanisani.
Kwani Israel anashindwa kutuma ndege zikalipue Gaza yote kwa mabomu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…