National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Nikiwa muhanga nimemaliza ku do usiku , alfajiri kitu imeitika usahaa huo kama mikojo na nilikuwa natakiwa kuanza safari ya kurudi home, na mwenzangu huwa anatabia ya ku nitest nikifika, ilibidi nibadilishe route hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. na karibia wote tuliokuwa nao kwenye kazi walipata kifurushi chao.. tofauti kabisa na DarIla nimesema tuu kukoleza mada..ila how come gono la Dom liwe tofauti?
Dose lake ndio noma 🤣🤣🤣🤣 usaha unaotoka inabidi uvae pad kama demu 🤣🤣🤣🤣napata picha kukojoa viwembe qmmmmmq daah
Weee muitikio wa mapema hivyo? Au uliusomba huko Dar so ulipokuja Dom ukakutana na mwenye navyo mwingine aka vi catalysed mambo yakawa mambo??Nikiwa muhanga nimemaliza ku do usiku , alfajiri kitu imeitika usahaa huo kama mikojo na nilikuwa natakiwa kuanza safari ya kurudi home, na mwenzangu huwa anatabia ya ku nitest nikifika, ilibidi nibadilishe route hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. na karibia wote tuliokuwa nao kwenye kazi walipata kifurushi chao.. tofauti kabisa na Dar
Huyu si JOHN SINS ama?
Gono ni masaa halina cha siku kwa wanaume.. Nilie mla alikuwa staff yupo very smart msafi mrembo kichizi ila ana gono la dodoma.. kavu kavu tamu.. condom ni dhambi, uasherati dhambi kuna atari za kishirikina kutumika mbegu vibayaa .. inshore ni kuoa na kutulia na mmoja na sio kuhamasisha matumizi ya ndomWeee muitikio wa mapema hivyo? Au uliusomba huko Dar so ulipokuja Dom ukakutana na mwenye navyo mwingine aka vi catalysed mambo yakawa mambo??
Ila nyie wanaume hebu jirekebisheni jamani yani unaenda kukutana na mtu humjui kavu kavu..mtatuua walah
Ukiona nyani kazeeka ujue kakwepa mishale ya kutoshaMhh sipati picha watu mna matukioo
Duuh ndo ujue mwanamke kuonesha dalili ni mbinde..pole any wayGono ni masaa halina cha siku kwa wanaume.. Nilie mla alikuwa staff yupo very smart msafi mrembo kichizi ila ana gono la dodoma.. kavu kavu tamu.. condom ni dhambi, uasherati dhambi kuna atari za kishirikina kutumika mbegu vibayaa .. inshore ni kuoa na kutulia na mmoja na sio kuhamasisha matumizi ya ndom
wanawake gono halionekani kirahisi, ila lina athari anapotunga mimba mtoto kuzaliwa kipofu ( ndio maana dom kuna kipindi kulikuwa na matonya wengi sana ), watoto kufa, hata mifumo ya uzazi kuharibika na kujikuta hazai tena. Me kujitibu gono ni rahisi sana kama atazingatia mashartDuuh ndo ujue mwanamke kuonesha dalili ni mbinde..pole any way
Yah i know that..ni tabu sanawanawake gono halionekani kirahisi, ila lina athari anapotunga mimba mtoto kuzaliwa kipofu ( ndio maana dom kuna kipindi kulikuwa na matonya wengi sana ), watoto kufa, hata mifumo ya uzazi kuharibika na kujikuta hazai tena. Me kujitibu gono ni rahisi sana kama atazingatia mashart
Nimetulia kabisa, sijapiga nje kitambo sana na sifikirii kupiga nje, vya ndani vinatosha napewa kila kitu..Sure..utulie sasa
Kumbe cha Dom ni kama Azam TV burudani kwa wote 😀Nikiwa muhanga nimemaliza ku do usiku , alfajiri kitu imeitika usahaa huo kama mikojo na nilikuwa natakiwa kuanza safari ya kurudi home, na mwenzangu huwa anatabia ya ku nitest nikifika, ilibidi nibadilishe route hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. na karibia wote tuliokuwa nao kwenye kazi walipata kifurushi chao.. tofauti kabisa na Dar
umeona sasa hapo, wale matonya wengi ilikuwa ni effects za Gono la dodoma..Yah i know that..ni tabu sana
Dodoma kina react fasta baraaKumbe cha Dom ni kama Azam TV burudani kwa wote 😀
Yule muislam anayehubiri kanisani?Namuona Elion Kimario akiangalia huo ujumbe kama upo kitabuni.
Ndio kusema dom wana gono lao special.?Gono ni masaa halina cha siku kwa wanaume.. Nilie mla alikuwa staff yupo very smart msafi mrembo kichizi ila ana gono la dodoma.. kavu kavu tamu.. condom ni dhambi, uasherati dhambi kuna atari za kishirikina kutumika mbegu vibayaa .. inshore ni kuoa na kutulia na mmoja na sio kuhamasisha matumizi ya ndom