National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Nikiwa muhanga nimemaliza ku do usiku , alfajiri kitu imeitika usahaa huo kama mikojo na nilikuwa natakiwa kuanza safari ya kurudi home, na mwenzangu huwa anatabia ya ku nitest nikifika, ilibidi nibadilishe route hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. na karibia wote tuliokuwa nao kwenye kazi walipata kifurushi chao.. tofauti kabisa na DarIla nimesema tuu kukoleza mada..ila how come gono la Dom liwe tofauti?