"Mshahara wa Uzinzi ni Majanga.." mwisho wa kunukuuUnapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Wanawake wanapenda mteremko kinachowafanya wafanye hivyo ni udangaji tuu kupata hela huku na huku hakuna kingine...tusema tamaaNi hatari Sana
Vijana wenyewe hawataki kutulia na Mpenzi Mmoja. Unakuta Mwanamke anawapenzi 3 hadi 7 na wote hamjuani.
Kwa msululu huo wa Wapenzi wengi na mtindo wao wa kutembea barabara za vumbi mmoja akipata hayo maradhi mtajikuta wote mnapata 🙆
Mwanamke ukipata Bwana unajua hakuridhishi bora kumwacha utafute anayeweza kukuridhisha badala ya kuwa na Wapenzi wengi😢
😂😂 magonjwa sensitive kama hayo ndo maana ukipima unambiwa uje tena baada ya miez mitatuEm acha uongo bhana
Yeah,si unaenda tena😂😂 magonjwa sensitive kama hayo ndo maana ukipima unambiwa uje tena baada ya miez mitatu
hiyo mipicha nshakutana nayo nikiwa na umri mdogo sana, sijui walikuwa NGOs za kupambana na magonjwa ya zinaa, walkuwa wanaonyesha sinema usiku uwanjani.Angalia picha pale juu
maana ake unaeza pima ukawa huma next 6 weeks vipimo vikaonesha unawadudu,. sasa ukipima ukatoka na shangwe utakuja kujua hujui😂😂 wabongo huishia kusema wamelogwa kumbe ni nguvu ya mamba kumai😀😀Yeah,si unaenda tena
Siku moja tu hiyo inatosha kunipa nguvu ya kuburudika ...maana ngwengwe nowadays ipo njenje....wengine mpira hapana aiseemaana ake unaeza pima ukawa huma next 6 weeks vipimo vikaonesha unawadudu,. sasa ukipima ukatoka na shangwe utakuja kujua hujui😂😂 wabongo huishia kusema wamelogwa kumbe ni nguvu ya mamba kumai😀😀
😂😂😂 Mungu anakuona Mkuu
Tushirikishe tuokoke na sisihiyo mipicha nshakutana nayo nikiwa na umri mdogo sana, sijui walikuwa NGOs za kupambana na magonjwa ya zinaa, walkuwa wanaonyesha sinema usiku uwanjani.
Sana sana zilinitia kinyaa tu, ila abdalah kichwa wazi akiita nasahau vyote nasijawahi kupata hata upele mpaka leo hii.
Kilichonifanya nichane na kuruka ruka ni sababu za kiroho nlizopata in deep from the source different from these common religious. Ambazo kwa hiki.kizazi cha dijitali hawawezi kuzielewa hata iweje wanasubiri wasikie kutoka BBC na CNN, na sosho netiweki.
hakuna mwanamke anapenda mpira, wengine zinawawasha na kupata vipele kama allegiSiku moja tu hiyo inatosha kunipa nguvu ya kuburudika ...maana ngwengwe nowadays ipo njenje....wengine mpira hapana aisee
haya mjini DODOMA kumekucha😀😂😂 viongizi wetu wawe makiniKuna jamaa aliwahi Kuja nastory na ugonjwa Kama huo kule mmu, aliupata kwa Malaya wa kununua dodoma.
Nilicheka balaa
Si unaonaaa😉hakuna mwanamke anapenda mpira, wengine zinawawasha na kupata vipele kama allegi