Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Tushirikishe tuokoke na sisi
nisomo refu na gumu kueleweka kwa waumini wa hizi dini mbili, inahitaji kuface your dark side na ufanye shadow work ya kutosha. Ila wenzetu wana shortcut zao ni kutubu dhambi kwa Mwenyezi Mungu na kuhudhuria ibada na sala, bila purification yoyote, the intended shadow work is nightmere for them
 
Wanawake wanapenda mteremko kinachowafanya wafanye hivyo ni udangaji tuu kupata hela huku na huku hakuna kingine...tusema tamaa
Ndiyo maana maradhi hayaishi. Wanawake wanakuwa na wanaume wengi kwaajili ya kujikwamua kiuchumi utasema wao hawawezi kujishughulisha na kupata pesa zao.

We Mwanaume kama unapenda rough road si upate Mmoja ukae utulie naye badala ya kuhangaika kwa Kila mtu.
 
Mtajua wenyewe mnaofanya uzinzi na uasherati.
 
Habari ya mkojo kuuma kama unakojoa mishikaki sitaki😬😬
 
Duh kwakweli natundika daruga mpaka aug 2024 🤨😳
Kuna Principal Moja kwenye Biology inasema kitu kama hakitumiki mara kwa mara kinapoteza uwezo wake.

Mfano kama umefungwa miguu yote miwili hutembei kwa Mwaka mzima basi utajikuta umekuwa mlemavu wa miguu.

Sina hakika kama principal hiyo inafanya kazi na hapo pia 😂
 
Ifanye kazi tu kwangu aiseee hapana 🤚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…