MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Huyu dogo ana mahaba na halland hata cr7 wakati anacheza man utd hajamuona.Labda useme katika ufungaji,ila ukija katika sifa za complete player Halland hampati Messi wala Ronaldo.
Maana Ronaldo na Messi kuna vitu wana offer tofauti na ufungaji.
Hao majamaa wawili wanaweza wakachezesha timu hususan Messi ila Halland anakupa magoli tu.
Mimi nihitaji gugo kujua Hilo. Michael Owen wakati anachukua ballon dor huenda ulikua bado tumboni😂Kagugo vizuri
Yuko sahihi, hukumbuki Ile ya 2001 akiwa Liverpool??Kagugo vizuri
😂😂😂😂😂😂Ronaldinho alikua na skills tu ila hakuwa best playmaker.Legacy yao wametengeneza kwa kupiga mabao mengi na mataji na sio kuchezesha timu. wote hao wawili hakuna anaemkaribia Ronaldinho kwa skills, ila heshima yao imekuwa juu zaidi sababu ya manafikio ya magoli, mataji, na records kiujumla. Sasa musitoke kwenye mabano njia waliotumia wao kutengeneza heshima ndio Halland anayopita.
Uko sahihi mkuu ni wawili tu.Mimi nihitaji gugo kujua Hilo. Michael Owen wakati anachukua ballon dor huenda ulikua bado tumboni😂
Mkuu mm maisha yangu huwa pia ni soka, soka lipo kwa damu
Yeah yupo sahihi tushaanza kuzeeka.Yuko sahihi, hukumbuki Ile ya 2001 akiwa Liverpool??
Kaka naona unaanza kukosa adabu kwa wakubwa.acha kufaninisha Halland na vitu vya kijinga, ROnaldo amefanya nini EPL cha kumzidi Halland?
Mwambie huyo halland achukue hata balon dior moja kwanza😂😂😂😂😂😂Ronaldinho alikua na skills tu ila hakuwa best playmaker.
Messi anatambulika kama BEST PLAYMAKER IN HISTORY.
Messi ana assist nyingi kuliko Ronaldinho je unalijua hilo!??
Messi amekua akihudumu namba tatu hadi sasa.namba 8,10 na 9.
Na tangia kuondoka kwa Xavi na Iniesta alihudumu kiungo mchezeshaji na kiungo mshambuliaji hadi sasa.
Huyo halland aliwahi kucheza namba 8 hata siku moja!??
Messi kipindi cha Ernesto Valverde namba 8 ndio ilikua namba yake.
Akichezesha timu kwa kuipandisha na kuishusha.
Alichofanya Messi HALLAND HAWEZI FANYA HATA ROBO YAKE MPAKA ANAINGIA KABURINI.
Labda kama ulikua hufuatilii mpira.
Enzi hizo messi anakokota mpira kuwapiga chenga wachezaji mpaka watano na kufunga.
Na messi is the best dribbler in history.
Mwambie huyo Halland a dribble hata wachezaji watatu kama anaweza.
Kukiri Ume kosea ni Jambo Bora, Ile comment uliyo futa ninge kuletea data uabikeYeah yupo sahihi tushaanza kuzeeka.
Atalinganishwa nao kwa magoli tu ila sio kwa vingine.Ofcourse kwa Sasa huwezi mlinganisha na hao, Ila akiwa na hii consistency kwa misimu 10, basi bila shaka atalinganishwa.
Hofu yangu hawezi kukaa na hii form kwa miaka 10 kama walivyofanya Messi na Ronaldo
Messi ndio playmaker bora kuwahi kutokea. Ndio maana huwa nasimama na Messi pale anapolinganishwa na Ronaldo. Messi ana-offer votu viwili kufunga na pia kama playmaker😂😂😂😂😂😂Ronaldinho alikua na skills tu ila hakuwa best playmaker.
Messi anatambulika kama BEST PLAYMAKER IN HISTORY.
Messi ana assist nyingi kuliko Ronaldinho je unalijua hilo!??
Messi amekua akihudumu namba tatu hadi sasa.namba 8,10 na 9.
Na tangia kuondoka kwa Xavi na Iniesta alihudumu kiungo mchezeshaji na kiungo mshambuliaji hadi sasa.
Huyo halland aliwahi kucheza namba 8 hata siku moja!??
Messi kipindi cha Ernesto Valverde namba 8 ndio ilikua namba yake.
Akichezesha timu kwa kuipandisha na kuishusha.
Alichofanya Messi HALLAND HAWEZI FANYA HATA ROBO YAKE MPAKA ANAINGIA KABURINI.
Labda kama ulikua hufuatilii mpira.
Enzi hizo messi anakokota mpira kuwapiga chenga wachezaji mpaka watano na kufunga.
Na messi is the best dribbler in history.
Mwambie huyo Halland a dribble hata wachezaji watatu kama anaweza.
Kwa Ronaldo siwezi sema ila kwa Messi ninaweza kusema wapi kamzidi Ronaldinho.hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.
Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
Haaland nafasi anayocheza ukitaka afanye hayo mengine utamuonea tuAtalinganishwa nao kwa magoli tu ila sio kwa vingine.
Messi na Ronaldo walikua complete player wanakupa mambo mengi sana.
Ila Halland anakupa kitu kimoja tu ambacho ni magoli basi.
Messi na Ronaldo walikua game changer ila kwa Halland ilo halipo.
Mfano embu niambie Halland ana assist ngapi kwa msimu mmoja tu!?
Mkuu Halland kuchezesha timu hana kipaji hiko.Haaland ni complete player. Yeye ni lone striker, Sasa iweje asiwe complete player?
Utofauti wake na kina Messi ni nafasi tu, Messi hakua lone striker, alikua false 9 na pia kama attacking midfielder
Mtu anazubaa yard 20 karibia na goli asubiri kufunga tu mnataka kumfananisha na Messi au Ronaldo watu ambao walikua wanautafuta mpira popote na wanafunga angle zozote!??Mwambie huyo halland achukue hata balon dior moja kwanza
Alionekana ana hicho kipaji ndio maana wakamuweka hizo nafasi.Haaland nafasi anayocheza ukitaka afanye hayo mengine utamuonea tu
Ronaldo de lima tunamhesabu moja ya mchezaji bora kuwahi kutokea, kwani ana assists ngapi? Pele ana assists ngapi?
Messi hizo ziada ni sababu ya nafasi aliyokua akicheza
Huo ufungaji tu sio kitu kidogo aisee, ndio striker pekee aliyefanya vizuri chini ya PepMkuu Halland kuchezesha timu hana kipaji hiko.
Kama angekua nacho Guardiola angeshamtumia.
Halland hana kingine cha kukupa zaidi ya ufungaji tu.
Ila Halland hawezi kuwa team game changer.
Ni kweli, ndio maana nasema kutokana na namba aliyokua akicheza basi aliweza kufanya hayo mengineAlionekana ana hicho kipaji ndio maana wakamuweka hizo nafasi.
Ndio maana hata kipindi cha Ernesto Valverde alikua akichezeshwa mara 8 mara 10 mara 9.He has that ability.
Mbona wengine hawakupewa hizo nafasi kama wana uwezo!??
Uwezo wake messi ndio umeonesha kuhudumu hizo nafasi.