Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Ofcourse kwa Sasa huwezi mlinganisha na hao, Ila akiwa na hii consistency kwa misimu 10, basi bila shaka atalinganishwa.

Hofu yangu hawezi kukaa na hii form kwa miaka 10 kama walivyofanya Messi na Ronaldo
Mfano mechi ya Man City vs West Harm alifanya nini haswa uwanjani tofauti na kufunga magoli tu? Hana vigezo vya ubora kufikia akina Cr7 na Messi hata kwa 25% tu, Haaland wa kawaida sana tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
shabiki gani wa messi anamchukia haaland??

Haaland huwez mfananisha na messi, ni wachezaji tofauti wanaofanya mambo tofauti uwanjani.

Kwa upande watu nampenda haaland ni mfungaji mzuri, ila ukisema umfananishe na messi, that would be disrespectful.
Si kwa Messi bali hata kwa Mbape Haaland ni kindergarten player.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Isipokuwa Rudiger. Nasema uongo ndugu zangu?🤣🤣🤣🤣
 
Haaland hata kwa Suarez Minjino bado ni Dogo sana kiuwezo, shida hapa ni mahaba Vs akili ndicho kinachojaza tu servers za JF.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hilo la kusema Halaand kanyanyasa Kila beki aliyekutana nae nimekataa na sababu ya kukataa ni Rudiger
Wewe mpira ulikua huangalii kitendo Cha mtu kukaa na wewe mda wote ni unamnyanyasa huoni Kila mda alikua yeye na halland wakati mwenzake yupo kawaida tu ila yeye amemkamia kiufupi hamuwezi kama angekua wa kawaida angerelax
 
Semaji kuu la Haaland toka Nanjilinji TZ linapobwatuka tu bila kujua dishi limecheza 🤗

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Huo ndio ukweli mnamchukia kijana kwasababu nyie mmezeeka na umasikini kama wewe unamiaka 58 huna hata Banda la nyasi kwanini usimchukie kijana mdogo kama halland mwenye miaka 22 ambae anaweza kulisha ukoo wenu mpaka kufa kwenu
 
Akina Juniors watapinga ila wanajizima tu data.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kizazi cha mwisho cha dhahabu ndio hiki cha kina Messi,Ronaldo,Suarez,Aguero,Modric,Marcelo.
Na hapo baadhi washastaafu na waliobaki soon wanastaafu.
Eden Hazard, walichezea sana mpira sema ndiyo walikuwa na miamba akina Cr7 na Messi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Sikuhizi soka limekuwa ujinga sana

Linaangalia magoli tu yaani namba sasa halaand hana kipaji cha soka kabisa ila ni vile tu basi tu

Pep mwenyewe alishasemaga "sometimes football is beyond the number"

Haland wa kawaida sana
Najua litapingwa hili ila Aguero alikuwa ni mzuri kuliko hata huyu Haaland anaeshinda hizi goli nyingi
 
Mfano mechi ya Man City vs West Harm alifanya nini haswa uwanjani tofauti na kufunga magoli tu? Hana vigezo vya ubora kufikia akina Cr7 na Messi hata kwa 25% tu, Haaland wa kawaida sana tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hajamfikia Messi, Hajamfikia Ronaldo. Hao wazee wanachosha sasa mwishowe wapewe tena Balon.
 
Yaani nawewe umekaa huko unaihesabia Arsenal? Huyo hata akuzidi points 50 utamkuta njiani tu
 
Haaland mzee wa tap in
Mzee wa kutengewa, anapotea ktk big matches


Ulimshuhudi Ronaldo msimu alioweka rekodi ya kufunga goli 31 epl?
takes lot of skills to do it consistently kwenye pro level. sio kila striker anaweza kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…