Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Mfano mechi ya Man City vs West Harm alifanya nini haswa uwanjani tofauti na kufunga magoli tu? Hana vigezo vya ubora kufikia akina Cr7 na Messi hata kwa 25% tu, Haaland wa kawaida sana tu.Ofcourse kwa Sasa huwezi mlinganisha na hao, Ila akiwa na hii consistency kwa misimu 10, basi bila shaka atalinganishwa.
Hofu yangu hawezi kukaa na hii form kwa miaka 10 kama walivyofanya Messi na Ronaldo
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.