Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao...

Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
 
Ingekuwa kweli Mrusi asingekuwa anamuomba Elon Musk kanuni ya kutengeneza Rocket ziwe zina ufanisi.
 
Mtu akileta ubishi muulize swali dogo tu kuwa internet..aseme tu Internet nani alileta ....nae aje na internet yake kama vp tofauti kabisa na hii
 
Nakukumbusha tu warusi ndo watu wa kwanza kurusha satellite. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo mwezini. warusi ndo wa kwanza kushusha chombo kwenye sayari ya mars. warusi ndo watu kwanza kurusha space station huko angani
Wako mbion kuleta chanjo ya kansa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mrusi wakwanza kurusha chombo mars na pia wakwanza kurusha chombo mwezini,,Marekani ni wakwanza kurusha chombo chenye binadamu kwenda mwezini ila sio kwamba wengine walikua bado
Acha uongo. Tupe ushahidi. Alirusha lini? Nakuambia watu waliotua kwenye sayari nyekundu ni Marekani, China na Elon Musk. Huyu Mrusi wako ameishia mwezini tu, napo alifika mwezini kwa kufuata nyayo za Marekani
 
Taja hayo ambayo China na Urusi wamempita kwa mbali sana USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…