Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema chanzo cha vurugu hizo ni baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa kwenye mnada wa Lulembelea kuwadhania ni wezi wa watoto kisha kuwashambulia.

“Walipokuwa wanawashambulia alitokea ofisa mtendaji wa kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwapeleka katika Kituo cha Polisi Lulembela baada ya watu hao kwenye gari, akawapeleka kituoni, hata hivyo wananchi takribani 800 walifika kituoni na kuwataka polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue," amedai Misime.

Amesema licha ya askari polisi kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa kujichukulia sheria mkononi, wananchi hao walikaidi na kuanza kukishambulia kituo cha polisi kwa mawe wakilazimisha kuwachukua watu hao wawili kwa nguvu ili wawaue.
View attachment 3093941View attachment 3093948
Propaganda ya ccm kuwaogopesha wananchi wasiandamane, lile tukio la mwanafunzi kuuwawa ni kiini macho hakuna ukweli wowote
 
Sasa hata tukibeba watoto wetu ni Hatari.
Hahahaha katoto kakiulizwa huyu ni nani?
Kakianza kujing'ata ng'ata unapigwa kofi, ukishapigwa kofi hapo katoto lazima kaogope, kakishaogopa kakiulizwa lazima kaseme simjuiii.

Ikishafikia hapo jiandae kwa kisago
 
Mpumbavu haitaj mazingira mazuri ya kutendea kaz. Yeye anaridhika na kupewa sifa kwa kupigwa kofi mgongoni tu kama Mbwa.

Naliona banda bovu la Security likisingiziwa kuharibiwa na wananchi.
 
Unapongeza uhalifu na ujinga?
Kuna uhakika gani hao watu wawili ni wezi wa watoto?
Kuna watu wameshauwawa Dodoma kimakosa sababu ya jambo kama hili.
Kuna gari kadhaa zimesha chomwa Moto kwa mambo ya kuhisia wezi wa watoto.
Subiri yakimtokea nduguyo au wewe mwenyewe utaona ubaya wa kufanya hivyo.
toka hapa unatetea watekaji
mimi mwenyewe nilitekwa na mapolisi wa patrol kisa sikuwapa rushwa konyo sana hawa jamaa
 
Watanzania sasa wameanza kuwa sugu...
Kama mbwai na iwe mbwai
 
Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema chanzo cha vurugu hizo ni baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa kwenye mnada wa Lulembelea kuwadhania ni wezi wa watoto kisha kuwashambulia.

“Walipokuwa wanawashambulia alitokea ofisa mtendaji wa kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwapeleka katika Kituo cha Polisi Lulembela baada ya watu hao kwenye gari, akawapeleka kituoni, hata hivyo wananchi takribani 800 walifika kituoni na kuwataka polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue," amedai Misime.

Amesema licha ya askari polisi kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa kujichukulia sheria mkononi, wananchi hao walikaidi na kuanza kukishambulia kituo cha polisi kwa mawe wakilazimisha kuwachukua watu hao wawili kwa nguvu ili wawaue.
View attachment 3093941View attachment 3093948
Samia Must Go!
 
This is hectic
 
Wamefanya makosa sana kuvamia polisi, FFU zitamwaga hapo na kuna wanao weza kwenda jela Maisha(kumbukeni wale Vijana wa bunju walivamia polisi)
 
Back
Top Bottom