Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

Na utakuta kuna Afande ana kitambi zipu yake haioni bila msaada wa kioo
 
Mtoto mmoja alikuwa kabebwa na baba yake na mwengine ni wa kaka wa mama wa huyo mtoto. Kwa kifupi wasukuma walitaka kuwaua wazazi wa hao watoto.
Kipi lilikuwa cha ajabu hadi wananchi wakakasirika? Kwamba wasukuma hawajawahi kuona mtoto akibebwa na baba yake, si kweli
 
hicho ni kituo cha polis cha binafsi au cha serekali?
 
Back
Top Bottom